=======
Haji Manara amelalamikia shirika la umeme nchini, Tanesco kukata umeme kwa muda mrefu na kusababisha kutumia gharama kubwa kuwasha jenereta. Manara amesema wananchi wengi hawana uwezo wa kununua jenereta au kununua mafuta ya kuendesha majenereta hayo.
"Hivi ni kwanini bando zina expire? Simu ni ya kwangu, nimenunua bando kwa fedha yangu halafu unanilazimisha nitumie kwa muda unaotaka wewe, hii ni kwanini Mh Spika? Kama ni sheria, basi iletwe sheria hapa ibadilishwe, kwasababu tunaibia wananchi.
"Anatafuta fedha kwa jasho, ananunua simu...
Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao...
Hakuna Nusu ya Mwezi kwenye kucha inamaanisha tezi dhaifu Ambayo inaweza kusababisha mabadiliko ya hali ya unyogovu kupata uzito na kukonda kwa nywele.
Kucha kukatika kama nyufa kama kwenye misumari inaweza kuonyesha Dalili ya ugonjwa wa ngozi
Kucha kuwa na rangi nyeupe huonyesha matatizo...
Mjini Unguja Kijana Mmoja Leo Asubuhi alijaribu kutaka kujiuwa kwa njia ya kujinyonga Lakini baadhi ya ndugu zake wamuokoa. Walikuwa wanamuogopa kumuokoa ana kisu hapo alisema mtu akija kumkamata atamchinja ninahisi atakuwa na maradhi ya akili huyu.
KITU USICHO KIJUWA KUHUSU JUISI YA BOKSI
BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice’ huwa ni halisi na ndiyo bora. Kwa kukuongezea imani zaidi, watengenezaji wameweka na neno ‘No Sugar Added’ au ‘No preservatives’...
My birthday is today. Leo ndio sikukuu yangu ya kuzaliwa, ninamshukuru Mungu kwa kunifikisha kuiona siku yangu ya leo ya kuzaliwa. Karibuni wote tupate kushereheke sikukuu yangu ya kuzaliwa.
Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.
One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.
Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya machungwa.
Kiwango cha joto cha pilipili kengele (pilipili hoho) kinapimwa katika vitengo vya joto...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Maharage huwa na rangi na aina mbali mbali
Binadamu wanakabiliwa na vitisho vingi, kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa, utapiamlo hadi kupanda kwa gharama ya maisha. Je, maharage yanaweza kuwa jibu la matatizo ya kimataifa?
Jamii hii ya kunde ni...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu kabisa sehemu hii muhimu ya mwili wetu kila wakati tunapotumia dawa za antibiotiki?
"Viini vya bakteria...
Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo.
Virutubisho katika papai
Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.