Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
VICHWA VYA HABARI MIAKA MITANO IJAYO NA KUENDELEA.jpg

TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani.

GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars walicheza kwa kujituma zaidi yao.

GAZETI LA NEW YORK MAIL 2060: rais wa Tanzania ataongoza mkutano wa G8(nchi nane bora zenye maendeleo ya viwanda)

GAZETI LA THE SUN 2072: Tanzania yavunja rekodi ya dunia kwa kuchukua kombe la dunia la wanawake, kombe la dunia la wanaume na klabu yake ya Azam FC kuchukua ubingwa wa dunia ndani ya mwaka mmoja.

BBC NEWS 2088: India yashukuru msaada kutoka Tanzania iliyowasaidia wananchi wa India walioathirika na mafuriko makubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya dunia.
CNN NEWS 2091: Viwanda vitatu vya Tanzania vyaingia katika 20 bora ya viwanda duniani na kuvunja rekodi ya dunia kwa viwanda vitatu kutoka nchi moja.

ITV HABARI 2099: Roketi ya Tanzania iliyosafiri kwa muda mfupi zaidi kuliko roketi zote (Siku mbili tu) na kufika umbali mrefu zaidi uliowahi kufikiwa na roketi zote, yabaini kuwa kuna sayari nyingine iliyombali kuliko sayari zote na yenye uwezo wa kuwafanya wanadamu waishi huko pasipo kuhitaji usaidizi wa mashine za hewa kama zilivyo sayari zingine tofauti na dunia.

ALJAZEERA NEWS 2119: Mwanasayansi wa kwanza Mtu Mweusi duniani raia wa Tanzania amegundua dawa ya kuwarudisha watu wazima na wazee utotoni ndani ya masaa 20 baada ya wao kutumia dawa hiyo.

CITIZEN NEWS 2135: Nchi ya Tanzania yasitisha msaada wake kwa Marekani baada ya nchi hiyo kuzidisha rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma kwa viongozi wake.

CTN NEWS 2150: Rais wa Uchina akutana na rais wa Tanzania ikulu jijini Dar es Salaam na rais huyo wa Uchina kufikisha ombi lake kwa rais wa Tanzania kuweza kulisaidia jeshi la Uchina kuweza kukabiliana na kundi la kigaidi la Dragon Hunters.
 
View attachment 2863031

Kwa akili hizi za kichawa
 
Nakumbuka zamani niliweza sana kuandika udaku
 
Insha Allah Mungu yupo na Lissu.

Hatujaacha Kumwomba Yehova Yile.
 
Wake up stop dreaming
 
Kwamba wanajeshi wa Tanzania waipa Russia madege ya kivita yenye uwezo wa kusafiri hadi sayari ya Neptune na kurudi Bila kugundulika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom