ajira

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

    Mambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira 1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako. 2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji. 3. Kopa kwa kiasi. Baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Simulizi: Ajira Toka Kuzimu

    Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole kimoja. Ilikuwa ina rangi ya bluu hii ndio ilikuwa nchi kubwa aliyokuwa ameagizwa kumfanyia kazi yake...
  3. JamiiForums Tanzania Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

    Habari Watanzania wenzangu uzi huu ni maalumu kwa walimu tuliopata ajira za serikali zilizotangazwa tarehe 27 novemba 2020 Napenda kumshukuru rais wa awamu ya tano, rais wa wanyonge, rais wa masikini, rais msikivu, rais anayeahidi na kutekeleza...Asante sana rais kwa ajira hii.. Kwa hakika...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  5. JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  6. JamiiForums Tanzania Walimu tuliomaliza 2018 tunatengwa sana kwenye ajira

    Sijui kwanini yaani! Jamani,Lol! Ajira za mwaka jana(2019) tuliambiwa tusiombe kabisa! Mwisho ilikuwa walomaliza 2017! Mwaka huu(2020) tuliambiwa tuombe! Ajira zimetoka lakini waloajiriwa wengi ni physics/mathematics na wachache sana wa masomo mengine! Chuo chetu sidhani kama yupo ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya wapinzani kupata ajira za maana nchini

    Kati ya awamu zote ni awamu hii ndiyo vijana wengi wasio na ajira za kuaminika wamepata ajira kwa kupambana na serikali. Vijana wengi wa Chadema wamepata ajira nzuri na kubwa serikalini jambalo lilikua nadra siku za nyuma. Vijana wa CHADEMA na viongozi wa upinzani wamekua ma DC means...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kazi Wakuu wangu mwenye connection

    Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sana kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu. Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchungu umeisha woteee. 1. Viti maaalumu wamepewa. 2. Tundu yupo Ubelgiji anakula soseji. 3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi. Kwahili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

    Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Sheria 2020/2021 naomba msaada nipate ajira/kujitolea

    Habari ndugu zangu. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021. Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili. Nimekuja kwenu ndugu zangu...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Job opportunity, special educators needed

    Job opportunity special educators needed
  15. JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  16. JamiiForums Tanzania Madaktari, manesi na watu wa maabara ajira zenu ziko mashakani

    Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu (🐐🐐 🇺🇸 a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi. Kutokana na hotuba ya Jana...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

    Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi as Pharmacist asistant

    Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician) Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs) sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu Uzoefu: Hosipitali 6months , Pharmacy :7months Mkoa: Dodoma, Morogoro,Arusha, kilimanjaro note: Uaminifu...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za Ualimu za muda

    Habari ndugu wa JF. Natafuta Mwalimu mwenye combination ya masomo ya lugha (Kiswahili na English). Shule ipo maeneo ya Bukoba, hivo wakazi wa maeneo ya Bukoba na jirani tafadhali wasiliana na uongozi kwa namba +255629327589, School administrator. Asanteni
  20. JamiiForums Tanzania Hivi zile ajira elfu 13 za waalimu wa msingi na sekondari zimeishia wapi?

    Ni muda kidogo umepita toka ajira hizi zitangazwe kwa mbwembwe sana. Nilishuhudia wasaka ajira walizipokea kwa matumaini sana japo wengi walihisi ni suala la kisiasa zaidi kutokana na ajira hizo kutangazwa ghafla katikati ya kampeni. Vipi kuna mtu anamjua mtu aliyeajiriwa kupitia ajira hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…