Wale wahanga wa ajira tukutane hapa

Umepata pesa mkuu?
Mi nimefikisha dola 9 nikataka kuitoa wakakataa. Wanasema mpaka ifike dola 150.
Lakin hata hivi nina wasiwasi.
Hivi inawezekana kupata pesa kiurahisi hivyo kweli au wanatufanyia mazingaombwe?
Hebu komaa.. alafu ulete mrejesho
 
Hata mimi imekataa kutoka chini ya dola 150 ngoja nikomae ila zoezi linataka muda wa ziada hivi kwa dola 150 sawa na sh.ngapi kwa pesa ya bongo sasa?
Umepata pesa mkuu?
Mi nimefikisha dola 9 nikataka kuitoa wakakataa. Wanasema mpaka ifike dola 150.
Lakin hata hivi nina wasiwasi.
Hivi inawezekana kupata pesa kiurahisi hivyo kweli au wanatufanyia mazingaombwe?
 
Katika maisha usipotumia nguvu kutafuta, basi utatumia akili nyingi kutafuta sehemu sahihi na siyo sehemu nzuri.

Kuwa freelancer mtandaoni utapata pesa ila kwa skills zako, maisha siyo mteremko hivyo.
 
Back
Top Bottom