Kwanini Viongozi ' Waandamizi ' na ' Waliostaafu ' bado huwa wanapewa Vyeo badala ya kuachwa Wapumzike?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,764
118,432
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
 
Mtaani kugumu, wapumzike ili iweje sasa

Je, na wale Watu wengine ambao wana Uwezo na muda wao wa kuwa Watendaji umefika huku hata Umri nao ukiwa unawaruhusu ila hawapewi hizo nafasi Kwao itakuwaje? Je, hapa tunajenga nini huku tukijua idadi ya ' Wanataaluma ' nayo inazidi tu Kukua na wana Mawazo mapya yanayoendana na dunia ya sasa? Nasubiri majibu yako ili nijue kama una Akili au huna.
 
Ndivyo watawala wetu wengi walivyo. Wanalipana tu fadhila. Wanajitahidi kuziba masikio yao ili wasisikie vijana wanavyo taabika kwa ukosefu mkubwa wa ajira. Siku zote majibu yao ni mepesi tu; huwaambia mkajiajiri!

Enzi za JK, tulishuhudia mpaka Wabunge wakiteuliwa tena kuwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya, wakuu wa bodi, nk. Ni mwendo wa kupeana tu ulaji. Inasikitisha sana.
 
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
Kulipana fadhila tu na ukiukaji wa sheria ya kustaafu ambayo ni 60 years kwa hapa Tanzania. Lakini utashangaa kuna baadhi ya kada na wanasiasa wamejiongezea umri wa kustaafu nje ya ule unaotajwa na sheria(Double Standard).Kuna classes za wanaobanwa na hiyo sheria na wengine wamejiwekea utaratibu tofauti.Ndiyo maana hatuendelei.
 
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
Vyeo vingine ni vya heshima tu vya kutambua mchango wake wakati wa enzi zake za utendaji. Na kutokana na umri wao mkubwa haitegemewi wapate kashfa yo yote.

Wewe kwa umri huo uteuliwe uwe Mkuu wa Chuo kikuu si tutakuta nusu ya wanafunzi wa kike umewajaza mimba!
 
Boss GENTAMYCINE Uzoefu wa kazi na kumudu kazi vizuri. Wazungu wanasema ... OLD is the GOLD.

Ni kweli hawa Wastaafu wanatakiwa wawe Bench, wanatakiwa wawe WASHAURI.

Viongozi wengi Vijana wametuangusha, Mifano ni Mingi, Mbeya, Iringa, Hai. Kidogo Arusha sasa hivi katulia.

Viongozi wachache sana Vijana ni wa mfano na mifano iwapo sio sana Tamisemi.

Uongozi si Kamera, Vijana wengi wanapenda Kamera na Kuwa Trend kwenye Mitandao na Magazeti.

Ushauri: Vijana waandaliwe, wapikwe, wapikike ndio wapewe Uongozi. Kama Rais wetu wa sasa alivyopikwa na kuandaliwa.

Nyerere naye aliandaliwa kuwa kiongozi na Waingereza?Mimi nalidhani viongozi huzaliwa,na hao vijana unaowasemaea wanafanyavibaya wameingiaje kwenye huo uongozi?Je,walistahili wawe viongozi kweli?
 
Tatizo Tanzania wazee wote ni wasaka fursa, ndo maana lowasa alienda ccm.sijui naye kateuliwa?
 
Vyeo vingine ni vya heshima tu vya kutambua mchango wake wakati wa enzi zake za utendaji. Na kutokana na umri wao mkubwa haitegemewi wapate kashfa yo yote.

Wewe kwa umri huo uteuliwe uwe Mkuu wa Chuo kikuu si tutakuta nusu ya wanafunzi wa kike umewajaza mimba!

Mkuu mbona mfano wako umekaribiana na Ukweli?
 
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
Siamini kwamba hata wewe GENTAMYCINE hufahamu tofauti ya ceremonial positions na executive positions!
 
Siamini kwamba hata wewe GENTAMYCINE hufahamu tofauti ya ceremonial positions na executive positions! Balozi Kazaura alikuwa Mkuu wa UDSM hadi karibu na umauti ulipomkuta(Mungu alipokaribia kumchukua). Unajua umri wa balozi Kuhangwa alipopewa kuwa mkuu wa UDSM?
 
Back
Top Bottom