Waitara anakubali kuwa kuna upungufu wa walimu na ajira zilisimama

Ndio lakini ufaulu umeongezeka kila jambo na wakati wake

State agent

Ufaulu umeongezeka au matokeo yanapikwa ili kuhadaa, chini ya utawala huu taarifa karibu zote zinapikwa ili kuhadaa umma kuwa kuna mafanikio. Huyu jamaa alikua ni mpika idadi toka akiwa waziri, nakumbuka ule uongo wake wa kutaja idadi ya samaki mpaka mayai. Hii tabia naona ndio kapanda nayo na kupachika serekalini.
 
Ufaulu umeongezeka au matokeo yanapikwa ili kuhadaa, chini ya utawala huu taarifa karibu zote zinapokea ili kuhadaa umma kuwa kuna mafanikio. Huyu jamaa alikua ni mpaka idadi toka akiwa waziri, nakumbuka ule uongo wake wa kutaka idadi ya samaki mpaka mayai. Hii tabia naona ndio kapanda nayo na kupachika serekalini.
 
Deni limeongezeka tril
Ajira kwa awamu ya 5 sio kipaumbele kwasasa tunanunua ndege cash kwa pesa za ndani na kujenga madaraja
Yaani 3 kwa mwaka mmoja tu.... Hizi pesa anakopa nani na anapeleka wapi kufanya nini kama kila kitu kinatekelezwa kwa fedha za ndani?
 
Deni limeongezeka trilYaani 3 kwa mwaka mmoja tu.... Hizi pesa anakopa nani na anapeleka wapi kufanya nini kama kila kitu kinatekelezwa kwa fedha za ndani?
Deni la taifa limeongezeka 3 tril ndani ya mwaka mmoja
 
Ufaulu umeongezeka au matokeo yanapikwa ili kuhadaa, chini ya utawala huu taarifa karibu zote zinapikwa ili kuhadaa umma kuwa kuna mafanikio. Huyu jamaa alikua ni mpika idadi toka akiwa waziri, nakumbuka ule uongo wake wa kutaja idadi ya samaki mpaka mayai. Hii tabia naona ndio kapanda nayo na kupachika serekalini.
Ukiambiwa toa data kuonesha zinavyopikwa unatoa macho. Pumbavu!
 
Back
Top Bottom