Tupo katika initial stages za kuanzisha kampuni mpya itayojulikana kwa jina la Abrar Bricks Ltd.
Location ni Mkoa wa Pwani, Misugusugu, Kibaha. Tanzania.
Tupo katika kutafuta ama ataependa kuajiriwa au kuwa partner mwanzilishikwenye kampuni kampuni ambayo ipi mbioni kuanzishwa. Tunahitaji...