ajira

  1. JamiiForums Tanzania Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
  2. JamiiForums Tanzania Harakati za Ajira

    Ni kwa muda uliwai zunguka kutafuta b Ajira bila mafanikio?. Rafiki yangu alitembelea limu zaidi ya miaka 4 hadi akachoka. Taratibu akili imemkaa kakubali yaishe na kaoa hivi juzi. Nope:, picha si ya jamaa yangu.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo wa ajira

    Habari za siku nyingI wana jf? Poleni sana na kazi. Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika. *Hivi mfumo unachaguaje watu? *Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  5. JamiiForums Tanzania Takriban 49% ya wasioajiriwa wajitokeza kuomba ajira za sensa

    Ikiwa ni siku 4 baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutangaza ajira za muda za Sensa. Watu 119,468 wameshajitokeza kuomba ajira hizo ambapo waombaji 58,916 ni wale ambao hawana ajira sawa na 49.3% Idadi hiyo ni ya kuanzia Mei 4 hadi saa saba kamili Mei 9, 2022. Aidha katika walioomba kazi hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Tunapiga windows 11 tupo Arusha AICC ajira leo

    Kwa wale wanafunzi na mtu yeyote binafsi ambae angependa kuweka windows 11 kwenye mashine yake. Tunaweka window 11 ki proffesional zaidi. Tunakuwekea ikiwa na keys na application zinginezo kama Integrated / Pre-installed: - Updates are integrated until 8 May, 2022 Chorme Winrar 7Zip Vlc Winamp...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Ukosefu wa Ajira au nini? Ana Masters na PhD lakini anaamini Uchawa ndio utamtoa

    Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini. Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa. Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Idara husika na ajira Serikalini acheni ubaguzi wa kuhitaji GPA. TCU pia jirekebisheni utendaji wenu

    Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  11. JamiiForums Tanzania Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  12. JamiiForums Tanzania Siku nne zaongezwa kuomba ajira TAMISEMI

  13. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Kwenu watendaji wa Tamisemi. Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

    Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza. Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi. Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi. Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  17. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kupigwa "changa" na matangazo ya ajira, tukutane hapa

    Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  19. M

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA WALIMU: Safari hii hatutavumilia figisu figisu kwenye ajira ya walimu kama nyakati nyingine

    Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mpya: Waombao ajira za ualimu TAMISEMI kuna kipengele kimeongezwa

    Habari wakuu, Kwa wale WAOMBAO ualimu, Tamisemi Kuna kipengele kimeongezeka ambacho ni uzoefu wa kufundisha. Kipengele hicho kipo baada ya sehemu iliyoandikwa viambatanisho vingine. Kipengele hiki kinaonekana kwa waombaji wapya kuanzia juzi usiku, ebu cross check profile yako Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…