ajira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  2. Mtambo 1272019

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

    Waungwana naomba kujua mdogo wangu aliombaga ajira takukuru hivi walishatoaga au bado maana ilkua kimya mpaka leo?
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania

    Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa kozi ya “Education with Religious Studies” anaweza kufanya kazi gani?

    Ufafanuzi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waliomba ajira ktk tangazo la MDA's na LGA's lililotoka PSRS.

    Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
  7. Stranger94

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi

    Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi. Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...
  9. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  10. Investaa

    JamiiForums Tanzania Ajira Ajira Ajira

    Habari! Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla. Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaolalamika kuhusu ajira na wanaojisifu kufanya sana ngono, ni vijana wawili tofauti?

    Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  14. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Ni Chuo kipi kati ya UDOM, COICT, IFM, ATC, RUCU, Mzumbe na AIA kiko vizuri kwenye Computer Science field, practical na theory?

    Nimemaliza diploma kutoka college ja ndoto zangu ziko in computer science najua programming languages kadhaa inshort najua field hii inataka nini. Ila changamoto ni chuo kipi kitanifaa kwa level yangu na kunipa chance ya kula explore deeper in the field.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) unavyoweza kutumika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Utangulizi Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie suala la ajira kwa undani

    Ajira katika nchi yetu ya Tanzania imekuwa Ni changamoto kubwa Sana kwasababu imezoeleka kwamba mtu anapomaliza chuo anategemea kupata ajira Lakini unakuta wakimaliza chuo watu Kama laki mbili kwamfano Kati ya hao watakaoajiriwa wanakuwa Ni elfu kumi wengine wote wanabaki mtaani wanakuwa hawana...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuandae Vijana kutoka katika wimbi la ukosefu wa ajira

    UTANGULIZI Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi hizi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara imezidi kuongezeka siku hadi siku.Mfano Nchi ya Tanzania...
  19. kichwamaji3234

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yesu na Jobless: Dhana ya janga la ukosefu wa ajira; kuwahi sio kufanikiwa

    Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa Anaandika, Robert Heriel. Mwanafalsafa. Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
Back
Top Bottom