1. Utangulizi
Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanafalsafa.
Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando.
Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John Joseph Pombe Magufuli ambae alikuja na mpango wa Elimu bila Ada kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi...
Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya hali kiuchumi na kijamii. Mabadiliko haya ni matunda ya fikra kukabili Changamoto za maisha.
Kwa...
1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa?
2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo?
3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
Mpaka sasa nchini mwetu kuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira, ni ukweli usiopingika kwamba hakuna taifa lolote duniani sio hata Marekani inayofahamika kuwa na maendeleo makubwa yenye uwezo wa kuajiri watu wake wote, isitoshe watu hawa wasio kwenye mfumo wa ajira za serikali wanahitajika...
KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia.
Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
UTANGULIZI
"Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana.
Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo;
(1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekua na changamoto kubwa sana ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa elimu ya vyuo mbalimbali, iwe elimu ya juu au elimu ya ufundi. Vilevile kumekua na changamoto hii kwa vijana ambao kwa namna moja au nyingine, kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha...
“Elimu ni ufunguo wa maisha” nakumbuka huu msemo ndio ulikuwa motto na salamu tuliyotumia kusalimia walimu wetu kipindi niko shule ya msingi Diamond. Kwa kipindi hiko tulitamka maneno hayo kwa kuyaamini kabisa na yalitupa nguvu mno ya kusoma kwa bidii ili baadae tuje kuwa na maisha mazuri.
Sasa...
nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua
https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
Poleni na majukumu wakuu.
Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta.
Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”.
Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda utambue kuwa nilikuwa kama wewe.
Ajira zipo nyingi Sana, zinatoka na kutangazwa Kila dakika kutoka...
UTANGULIZI
Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.