Ajira katika nchi yetu ya Tanzania imekuwa Ni changamoto kubwa Sana kwasababu imezoeleka kwamba mtu anapomaliza chuo anategemea kupata ajira Lakini unakuta wakimaliza chuo watu Kama laki mbili kwamfano Kati ya hao watakaoajiriwa wanakuwa Ni elfu kumi wengine wote wanabaki mtaani wanakuwa hawana kitu
Cha kufanya na wakati huo amesoma kwa kutumia hela ya mkopo wa serikali Sasa huo mkopo ataurejesha vipi?
☑️Naiomba serikali iangalie hili swala la ajira kwa undani zaidi ili kupunguza kero ya ukosefu wa ajira nchini ili kuepusha matukio ya wizi mtaani na wizi wa mtandaoni
☑️Pia naiomba Serikali iweze kushirikiana na taasisi za watu binafsi Kama makampuni au viwanda ili kuweza kutangaza na kutos ajira kwa wale wahitaji.
☑️Pia naiomba Serikali iweze kuongeza nafasi za ajira kwenye idara zote hasa idara ya Elimu huku ndo Kuna wahitimu wengi Sana.