Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo?
Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe.
Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako.....
1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa hasa ni za Uokoaji Watu wakiwa Matatizoni
2. Kisha mkishakuwa Watu 25 tu Mimi GENTAMYCINE nitakuwa...
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja...
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja.
Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa.
Source: TBC
======
Waziri...
Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha VETA mkoani Kagera
“Utafiti uliofanywa na Idara ya Takwimu ya Serikali 2021 inaonesha asilimia...
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?
Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.
NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Inasikitisha kwa taasisi Kama vyuo Vikuu kuajiri kwa vigezo vya ukabila na kujuana. Mchezo unaanza kwa ku-shortlist mtu mmoja kwenye nafasi moja halafu eti unamuita kufanya interview?
Habarii wakuu,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi.
Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
Habari zenu,
Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya kujitolea nitashukuru .
Habari wakuu,
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.
Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
Hello habari za majukumu!
Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta mshahara wote unaishia kwenye pango la nyumba, nauli ya kwenda na kurudi kazini. Maana shule haikuwa...
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya...
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.
Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.
Kwanini sehemu ya...
Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi.
Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
Wana JF.
Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori.
Kwanini mchwa ndio chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.