Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina elimu ya sekondari kidato cha nne
Nilihitimu 2017 lakini sikubahatika kuendelea na elimu ya advance, mimi ni mkubwa kwenye familia ya watoto wanne
Dhumni la kuja kwenu, ninaomba mwenye uwezo wa kunichangia japo chochote ili niweze jiendeleza...
Habari kijana under 25.
Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea.
Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani.
Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi.
Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri.
Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira...
Kazi unayofanya sasa hivi uliiisomea? Au ajira yako ya sasa inaendana na ulichosomea?
Wale mnaofanya kazi ambazo hamjasomea na life linasonga tu basi tumia uzi huu kuwapa vijana tips na moyo kwasababu kuna wimbi la depresssion sasa hivi.
Nb: Ndugu zangu wenye degree fanya chochote cha...
Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement.
Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
Naomba nijue, naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za Serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz).
Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya internet wanafanya vipi kupata hzo ajira? Maana hawatoi alternative way ya kutuma maombi zaidi ya kupitia...
Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms).
WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.
Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
Wakuu habar za mda?
Hvi ni kwanini ajira nyingi za vyombo vya ulinzi wanahitaji watu waliopita JKT na JKU (kwa Zanzibar)?
MTaani wapo vijana wengi waliosoma na hata ambao hawana elimu ambao hawakubahatika kupita jkt&jku kwa sababu tofauti tofauti, na wana penda kujiunga na vyombo vya ulinzi na...
Bila shaka mu wazima kabisa.
Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana...
1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Naitwa Innocent
Mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ya binadamu, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mwenye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458.
Asante
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote.
Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
Wanahitajika Laboratory Managers, Laboratory Supervisors, Chemists, Laboratory Technicians na Laboratory Assistants kwenye Mgodi wa Dhahabu.
Andaa CV yako, barua ya maombi na vyeti vyako kwaajili ya kutuma maombi:
Mengineyo
Bright and Genius Editors tunawapenda
Tumewaletea huduma ya...
Nurse Position at Milvik Bima
Location : Dar es Salaam, Tanzania
MILVIK BIMA
Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.