ajira

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
  3. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Vyumba vya kulala kwa tsh 13,000/=

    Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...... Location ni hiyo alama ya bluu.
  4. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi. Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla. Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  7. Muddy123

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inatengeneza Ajira 40,000 Kwenye Kilimo

    Rais Samia Suluhu amemaliza Ziara yake leo mkoani Manyara kwa kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Baada ya ukaguzi huo alikutana na kuzungumza na wananchi. Kabla ya Rais Samia kuzungumza. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipata nafasi ya kuzungumza na kuongelea jinsi Serikali...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  12. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Maombi yamepokelewa Secretariat ya Ajira, kwanini hadi sasa hakuna mrejesho mwingine?

    Kwenu Secretariat ya Ajira. Mliweka Nafasi za kazi za MDA na LGA hapo July 2022. Wasaka Ajira tukajitosa kuomba Tena Kwa Gharama kubwa na Sifa mlizotaka zipo. Mrejesho toka kwenu ikawa Received. Mpaka Leo hakuna jibu lingine la maybe not shortlisted au shortlisted au nafasi hii imechukuliwa...
  13. Mzunde

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nipate ajira?

    Jamani naandika kwa uchungu sana, mwenzenu nina miaka saba sasa tangu nimemaliza chuo sijawahi bahatika kupata ajira popotee. Nilisoma BBA baada yakuona mambo magumu nikaenda driving nasasa nina hadi cheti cha NIT cha proffesional driving lakini bado sioni mwanga. Naomba ushauri mzuri...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

    Katika uzi huu tunataka kuzifahamu kozi ambazo hazitoi ajira kwenye taasisi binafsi na serikalini. Hivyo kama una orodha yako uwanja ni wako sasa tutajie kozi hizo. NOTE: Tunaomba mtuandikie kozi sio stori.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  16. MINESOPOTAMIA

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  17. prync

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kusoma kozi ya Risk Management and Insurance?

    HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please share we with us.
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

    Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi. Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
  19. 44mg44

    JamiiForums Tanzania MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

    Wadau natumai Ni wazima; Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili. Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
Back
Top Bottom