TANGAZO LA AJIRA ZA UALIMU

brightmind

Member
Dec 24, 2018
72
103
Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu.

1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi.
2. Mwalimu mmoja wa Montesori
3. Mwalimu mmoja wa kiingereza.

*Vigezo
Awe amehitimu chuo chochote kinachotambuliwa na serikali kwa ngazi ya Cheti, diploma au shahada.
Uwezo mzuri wa kuongea na kuandika kwa lugha ya kiingereza.
Uzoefu wa kufundisha watoto zaidia ya miaka 2

Maombi yatumwe kupitia email ya mwalimu mkuu, maniguharuni@gmail.com au Whatsapp 0757501566.

Mwisho wa maombi ni tar 21/12/2022.
 
Hili Tangazo nimeliona sasa hivi. Natamani ningechangamkia fursa ila niko nje ya Muda.
Nimesomea ualimu pia. Shahada (Linguistics na Literature) nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu kusomesha skuli ya English Medium. Japo nilikuwa nikijihusisha zaidi na masomo ya ICT
 
Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu.

1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi.
2. Mwalimu mmoja wa Montesori
3. Mwalimu mmoja wa kiingereza.

*Vigezo

Maombi yatumwe kupitia email ya mwalimu mkuu, maniguharuni@gmail.com au Whatsapp 0757501566.

Mwisho wa maombi ni tar 21/12/2022.
Mkuu,kuishi ni kujifunza.Kuwa mwalimu wa montesori ndiyo taaluma gani hiyo?Fafanua kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom