Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,115
Nimatumaini yangu JF wazima wa afya tele.
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatangaa nafasi ya kazi kwa wakazi wa Dar es salaam.
Mtu mwenye uzoefu na maswala ya ngozi (esthetician). anahitajika.(Mwanamke)
Tunataka mtu mwenye sifa hizi.
Ana uzoefu wa miezi sita na kuedelea.
Anajua kutumia mashine zote za facial
Ana uwezo wa kutoa ushauri kwa mteja.
Ana uwezo wa kuongelea maswala ya facial mbele ya camera.
Awe anajua aina zaidi ya kumi za facial( mf: Oxygen, Dermabrasion, hydrodermabrasion, microneedling, chemical peel n.k)
Awe na uzoefu wa kutumia na kuset mashine za facial(mf: microneedling, hydrafacial)
awe na uzoefu wa maswala ya Lipolaser/Cavitation/ Vacuum/Rf Slimming Machine.
Awe na leseni ya kumruhusu kutoa huduma tajwa hapo juu. ikiwa huna na ujenzi unao, tutakutafutia kwa gharama zetu.
Ikiwa una sifa tajwa hapo juu, unaweza kutuma CV yako kwenye Email ya ofisi care@tanzua.com.
Ikiwa una swala kuhusu ajira hii niandikie DM.
Ikiwa una ujuzi lakini ungependa kujiboresha zaidi, naomba tuwasiliana DM.
NB: sijaweka namba ya simu kwasababu ina tatizo.