PostGE2025 Kijana wa miaka 14 ajinyonga baada ya kulawitiwa na waliomchukua Oktoba29

PostGE2025 Kijana wa miaka 14 ajinyonga baada ya kulawitiwa na waliomchukua Oktoba29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,690
Reaction score
42,691
Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29.

Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana huyo alipatikana tarehe 4 akiwa ameumizwa vibaya, mwili ukiwa na makovu na kuvimba. Hali yake iliwatia hofu zaidi pale alipolalamika kushindwa kukaa, na baada ya uchunguzi wakabaini alikuwa amelawitiwa.

Siku chache baadaye, alisikika akisema anaenda shambani kutafuta masago ya ng’ombe. Hata hivyo, hakurudi nyumbani—baadaye alipatikana akiwa amejinyonga.
 
Back
Top Bottom