ajinyonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  2. DodomaTZ

    Katavi: Ajinyonga chumbani kwa Watoto wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Eden Mwakipesile (49) mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu Mkazi wa Kijiji cha Ibindi Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amekutwa akiwa amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha kulala watoto wake kwa kutumia Kamba. Diwani wa Kata hiyo ya Ibindi Daniel Peter...
  3. tpaul

    Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  4. Hemedy Jr Junior

    Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  5. Analogia Malenga

    Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

    Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
  6. BARD AI

    Mmoja kati ya walioiba vitu kwenye ajali iliyoua watu 17 Tanga ajinyonga

    Mtu mmoja kati ya watu 8 waliokamatwa, wakituhumiwa kuiba mali za waliofariki katika ajali iliyotokea Korogwe mkoani Tanga, ikihusisha gari la mizigo aina ya Fuso na gari la abiria aina ya Coaster, lililokuwa likisafirisha mwili kwa ajili ya maziko wilayani Rombo na kusababisha vifo vya watu 20...
  7. Swahili AI

    Shinyanga: Mwanaume ajinyonga nyumbani kwa aliyemnyima tendo

    Daaaaah! Usiku wa juzi kuamkia jana kumetokea tukio nikiwa uku Serengeti aisee jamani usiombe yakukute, kuna dada mume wake yupo Shinyanga ameenda kutafuta maisha mke kamuacha Serengeti kijiji cha mbalibali ambapo ndio nilikuwepo, sasa uku kijijini uyu dada ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa...
  8. BARD AI

    Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  9. R

    Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi

    Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani, amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani, ACP Pius...
  10. Analogia Malenga

    Mwanza: Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

    Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
  11. Mapand

    Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    Geita: Mke ajinyonga Kisa kushutumiwa kuiba elfu kumi ya mumewe

    Kama kawaida Geita hakupoi.. Mke ajinyonga Kisa kushutumiwa kuiba 10,000 ya mumewe👇 --- Picha: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi (ACP), Henry Mwaibambe ASIA Kibishe (27) mkazi wa Kijiji cha Nyarututu, Kata ya Bwanga, wilayani Geita amekutwa amejinyonga, chanzo kikidaiwa ni...
  13. Nyuki Mdogo

    Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  14. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

    Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
  15. JanguKamaJangu

    Manyara: Binti ajinyonga baada ya kugombezwa na dada yake

    Binti mwenye umri wa miaka 14, Silvan Tumaini Isdori Mkazi wa Mtaa wa Majengo ya zamani Babati Mjini Mkoani Manyara amejiua kwa kujinyonga na chandarua chumbani kwake mara baada ya kugombana na dada yake aliyekuwa anaishia naye. Chanzo cha Ugomvi kimeelezwa kuwa ni baada ya dada wa Marehemu...
  16. kinjekitile70

    Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

    Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo. Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo. Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa...
  17. Dola Iddy Wa Chelsea

    USHIROMBO: Mwanafunzi ajinyonga ikidaiwa hakutaka kuendelea na masomo

    Mwanafunzi wa kidato cha PILI katika shule ya sekondari ya DOTTO BITEKO, Kijana MATHEW PETRO mwenye umri wa miaka 17 amejinyonga mpaka kufa Taarifa kutoka kwa mwanafunzi mwenzake aliekuwa akisoma nae amesema sababu ya kijana MATHEW PETRO kuchukua uamuzi wa kujitoa uhani ni KULAZIMISHWA KUSOMA...
  18. Nyendo

    Ajinyonga baada ya kujifungua mtoto mlemavu

    Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama mzazi amejinyonga mtoto aliyemuacha atalelewa na nani. Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu...
  19. J

    SIMIYU: Mmoja ajinyonga mpaka kufa akiwakimbia RC Kafulila na Rais Samia

    === Mr Daniel Jilala mwenye umri wa miaka 43 ambaye ni katibu wa chama cha msingi cha Ushirika AMCOS, Mkazi wa kijiji cha Sulu wilaya ya Maswa mkoani Simiyu amekutwa amejinyonga kwa kamba kwenye mti jana jioni Mei27, 2022, Bwana Jilala ameacha ujumbe wa simu( sms) aliomtumia mmoja wa afisa wa...
  20. JanguKamaJangu

    Urambo: Ajinyonga baada ya kuandamwa na sauti zilizomtaka ajiue kwa muda mrefu

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Emmanuel Kasapa (60) Mkazi wa Mtaa wa Legezamwendo, Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora amejiua kwa kujinyonga baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na sauti za watu zikimwamuru ajiue. Watoto wa marehemu wamesema baba yao amejaribu kujiua mara kadhaa...
Back
Top Bottom