Geita: Mwalimu ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia

Geita: Mwalimu ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
1,566
Reaction score
3,129
Mwalimu wa shule ya msingi ng'weja mwalimu Nteba. M . Shija (36) ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia.
Tukio hilo limetokea juzi 13/3/2025.mwalimu huyo aliamka siku hiyo akiws salamq akaenda shule ila baada ya kutawanyisha watoto mida ya saa tano akawa amerudi nyumbani kwake muda huo mke wake alikuwa shambani muda huo ndio akautumia kujinyonga.

Marehemu ameacha mke na watoto wanne.

IMG_20250315_111224_467.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250315_111224_467.jpg
    IMG_20250315_111224_467.jpg
    343.7 KB · Views: 48
Muda wa kuaga
 

Attachments

  • IMG_20250315_111314_495.jpg
    IMG_20250315_111314_495.jpg
    356.3 KB · Views: 48
Kila anayejinyonga ana watoto 😑kuna makosa imefanyika ...Angalieni nyie mnaolea watoto : je ,hampati mzigo wa kimaisha ?

Kule Mbeya wawili wote wana watoto.
 
Hongera kwake ,kwa sasa duniani kote waweke mifumo mizuri ili watu waruhusiwe kujitoa uhai peacefully.

Duniani tumeingizwa mkenge na wazazi wetu ,imekuwa kama pyramid scheme ; unazaliwa ,na wewe unazaa mnazidi kuwa wengi bi.​
 
Kuna kitu marehemu alikuwa anapitia na hakuwa na wa kumsaidia including mke wake.Matatizo katika maisha yanahitaji watu wa kuwashirikisha kimawazo ila ukiamua kuyafungia moyoni mwisho wa siku ndio inakuwa kama hivi
 
Mwalimu wa shule ya msingi ng'weja mwalimu Nteba. M . Shija (36) ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia.
Tukio hilo limetokea juzi 13/3/2025.mwalimu huyo aliamka siku hiyo akiws salamq akaenda shule ila baada ya kutawanyisha watoto mida ya saa tano akawa amerudi nyumbani kwake muda huo mke wake alikuwa shambani muda huo ndio akautumia kujinyonga.

Marehemu ameacha mke na watoto wanne.

View attachment 3271572
Ukiwa na watoto hakafu ukajinyonga unakosea sana. Nani awalee watoto?
 
unakuta jamaa anapambana mambo hayaendi halafu na mkewe anamuongezea stress
 
Back
Top Bottom