AJALI: Imeusisha magari mawili Basi na Noah-bagamoyo mkoani Pwani

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,730
21,128
Kuna ajali eneo la mto wami upande wa bagamoyo baada ya mzani mbele ya magenge ya yauza matunda.

Ajali hiyo imeusisha basi la Cost line lifanyalo safari zake kati ya Dar -Tanga na gari ndogo aina ya Noah, mwenye taarifa kamili na hii ajali tafadhali weka hapa umma unasubili kwa undani
 
Jamani mbona ajali nyingi hivi halafu Noah na magari makubwa.
Nawaharumia sana hao wa Noah.Mungu aweke mkono wake.
 
Kuna ajali eneo la mto wami upande wa bagamoyo baada ya mzani mbele ya magenge ya yauza matunda.

Ajali hiyo imeusisha basi la Cost line lifanyalo safari zake kati ya Dar -Tanga na gari ndogo aina ya Noah, mwenye taarifa kamili na hii ajali tafadhali weka hapa umma unasubili kwa undani
Wewe umepungukiwa taarifa?!
 
Back
Top Bottom