Kila mwaka watu milioni moja na laki tatu na nusu (1.35mill) hufa kutokana na ajali za barabarani

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Sheria ya usalama wa Barabarani ya mwaka 1973 inatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa ili kupunguza ajali za barabarani.
Kuelekea kwenye uchumi wa viwanda tunahitaji kuhakikisha usalama wa raia unapewa kipaumbele kwa sababu raia ndiyo uchumi wenyewe.

Kila mmoja wetu ni mlinzi, viongozi na Serikali yetu ni wasimamizi. Tukisimama pamoja tunaweza.
 
Back
Top Bottom