ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni ajali au ni style?

  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: OCD Bukoba, Babu Sanare afariki kwenye ajali ya gari

    Taarifa ya ajali SSP Babu Sanare OCD Bukoba amepata ajali mbaya gari yake kupinduka maeneo ya Igaka Sengerema na kupelekea kifo chake. Bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe.
  4. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

    Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara. Chanzo: ITV
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga wa ajali wanastahili fidia, kuna uelewa mdogo wa masuala ya bima

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza amesema wanaopata ajali au madhara katika Chombo cha Moto ambacho Fidia yake husimamiwa na Sheria ya Bima wanapaswa kulipwa. Ameeleza hayo baada ya Mbunge Rita Kabati kusemi abiria wengi wanaopata Ajali wamekuwa wakisumbuliwa na wamiliki wa Bima...
  6. JamiiForums Tanzania Utatuzi wa Changamoto Kupata PF3 wakati wa ajali

    Wana jamvi, Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha polisi alikoenda au kupelekwa kabla. Utaratibu huu umesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na...
  8. JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni zipi Haki za Abiria? Basi la Super Feo limekalisha abiria hapa Chalinze tangu asubuhi, hakuna msaada wa Mamlaka au Mmiliki

    Msaada kwa wenye uelewa wa jambo hili. Jamaa yangu amepanda gari la Super Feo kutoka Dar kuenda Songea asubuh, kufika Chalinze eneo la mlimani ajari ikatokea kati ya basi na boda. Wakaja polisi gari ikageuza kurudi kituoni Chalinze ilikuwa ni saa tatu na dakika zake. Tokea saa tatu mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Padri Baptist Mapunda afariki dunia kwa ajali ya gari

    Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo. Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

    Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali. Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
  12. JamiiForums Tanzania Pakistan: Zaidi ya watu 30 wafariki baada ya treni mbili za abiria kugongana

    Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa. Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

    Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea. Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar. Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
  14. JamiiForums Tanzania Shinyanga, Buyubi: Watu 3 wadaiwa kufariki dunia kwa ajali ya basi, 34 wajeruhiwa

    Watu 3 wanadaiwa kufariki na wengine 34 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala kuelekea Dar kupata ajali eneo la Buyubi Shinyanga. Baadhi ya majeruhi kwenye ajali hiyo wamesema kuwa dereva wa basi hilo alishindwa kuimudu kona ya Didia. Watu watatu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga anusurika Kwenye ajali ya Chopa Kisumu

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yuko salama kufuatia ajali ya Chopa iliyotokea katika Kaunti ya Siaya Jumapili jioni. Chopa hiyo ilikuwa imemsafirisha kutoka Kisumu hadi Gem katika Kaunti ya Siaya ilipoanguka. Taarifa kutoka kwa Msemaji wake Dennis Onyango ilisema Chopa ilianguka...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

    Msanii Emmanuel Eribariki Munis (Nay wa Mitego), amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview. Kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu na hali yake bado haiko vizuri. Inaelezwa alipanda bodaboda ili kuwahi kipindi baada kukwama kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Ajali ya Ndege iliyoua wachezaji 8 wa Manchester United

    Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby Babes". Sare ya 3-3 waliyoipata kwenye mchezo huo iliifanya Manchester United kutinga nusu fainali...
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS rekebisheni traffic lights za Aga Khan junction kabla hazijasabanisha ajali

    TANROADS tafadhalini rekebisheni hizo taa. Karibu wiki sasa naona taa zinaruhusu huku na huku kwa wakati mmoja. Naweka picha inayoonesha gari kutoka Agakhan hospital zimeruhusiwa huku gari zinatoka selander kuingia upanga nazo zimeruhusiwa.
  19. JamiiForums Tanzania Nigeria: Army chief dies in air force plane crash

    Eleven crew and officers aboard a Nigerian military plane were killed Friday when it crashed in northwestern Kaduna state, according to media reports. The dead included army chief Lieut. Gen. Ibrahim Attahiru. The air force said in a statement that its plane crashed near Kaduna airport and...
  20. JamiiForums Tanzania MOROGORO: Mtu mmoja afariki baada ya kuigonga Treni

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…