Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,778
Screenshot-2021-07-22-at-16.01.02-660x400.png

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

source; millard ayo
 
Mungu ampokee mja wake na majeruhi wapate nafuu mapema.

Sasa wale wa kuwahi Kigoma na Treni itakuaje?
 
Screenshot-2021-07-22-at-16.01.02-660x400.png

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

source; millard ayo
Apumzike kwa amani..so sad..ni jiran yangu kule kijijin
 
Treni yaapata ajali dereva afariki.nilitaka nishangaa dereva wa tren afariki kwasababu ya kugongana na gari
 
Screenshot-2021-07-22-at-16.01.02-660x400.png

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

source; millard ayo
Poleni wafiwa.
Hivi godegode IPO MOROGORO au IPO MPWAPWA? Mdau
 
Screenshot-2021-07-22-at-16.01.02-660x400.png

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

source; millard ayo
Maza anaweza kutembelea eneo la tukio
 
Treni yaapata ajali dereva afariki.nilitaka nishangaa dereva wa tren afariki kwasababu ya kugongana na gari
Kichwa cha habari kinachanganya kweli kweli! Unaweza kudhani ni dereva wa treni! Jambo ambalo haliwezekani hata kidogo.
 
Hizi ajali za kugonga magari sehemu za makutano ya magari na treni sio poa wekeni vizuizi bhana wapeni wananchi ajira wazuie ajali bila kutegemea honi za treni...hela ya abiria wawili tuu kwenda na kurudi mnatulipa sisi wanakijiji hamtasikia tena huo upuuzi wenu na kuharibu mali za umma kizembe...Serikali amkeni hiyo ya umeme itakuaje kama hii ya mafuta kila kukicha ajali zenu tuu za kizembe
 
Inayoenda kigoma ifiki salama, hatutaki simba wapate sababu tutakapo wafunga 3:0 oh mara tulipata majanga njiani.

Mungu wafikishe salama kigoma ndege wetu simba.
hatimaye nimempata shabiki wa Yanga ambaye anafaa kuolewa na mwana simba

karibu Mwanza Lucky😍
 
Inayoenda kigoma ifiki salama, hatutaki simba wapate sababu tutakapo wafunga 3:0 oh mara tulipata majanga njiani.

Mungu wafikishe salama kigoma ndege wetu simba.
Simba itafika salama salimini na kipigo itatoa usitie hofu rafiki
 
Manara ni sio simba sc mzee. Awepo au asiwepo sisi tunapeta.

mlipotufunga 1 bila huyo TAKADINI si alikuwepo? sasa ilikuwaje mkatufunga?

hebu niache na baby wangu mpya luckyline anipeleke mbio kama Tuisila Kisinda😅😅😅
Ushafika kigoma lakini? Mbona sikuoni?😂😂😂
 
Simba itafika salama salimini na kipigo itatoa usitie hofu rafiki
Ahaaa tumehakikisha nyau wa mkoa mzima wanalindwa vizuri 😂😂 hicho kipigo kitatoka wapi jamani? Na vile ushastaafu kazi poleni sana.

Ushafika kigoma?
 
Back
Top Bottom