Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.
Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni kamari.
hamna anayeshinda kwenye huu mchezo wa maisha. kwa jinsi navyotazama maisha ya huyu mjusi...