ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

    Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa mwisho siku ya leo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
  2. C

    Je, kukataliwa au kutothaminiwa au kuonekana ni wa Ajabu na Kero ni Kurogwa au una Jini ndani yako?

    Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile. Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
  3. Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  4. Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

    Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'. Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
  5. Familia nyingine ni za ajabu sana

    Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana. Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
  6. Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji. 👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji. 👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁...
  7. Kwenu mliowahi kuogeshana kwa hizi scrub, tupeni uzoefu wenu nasi tuweze kunogesha mapenzi.

    mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
  8. Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  9. Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  10. Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  11. "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
  12. Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  13. S

    Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  14. Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu. Maana napenda pia...
  15. Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  16. Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  17. F

    Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  18. Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  19. Erlιng Haɑland, na shamba lake lenye mifugo ya ajabu.

    Shamba la Erlιng Haɑland, limejaa wanyama wenye maumbo ya ajabu, huyu ni ng'ombe mwenye vichwa viwili.
  20. CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…