aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
  2. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya ajali za ndege aina ya hii ya Precision Air

    Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022) Accidents with fatalities Date Flight Fat. Surv...
  4. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi yao ya kushangilia ninayoyaona na walivyofanyiwa fujo Dar kuna watu watafungwa nyingi waendako

    ~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya. ~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao. ~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha. Yaani wamewapania hadi kuandika kuwa "Revenge has no Mercy". Mtawakoma!
  6. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za wanawake na tabia zao

    1. Mommy Types Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia kupokea simu zisizopungua 10. 2. The Listener Ni aina ya wasichana au wanawake inayopendwa na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wakati Utawala wa Kidikteta unakuwa unafaa kuliko aina yoyote ile ya Utawala?

    Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza. Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa...
  9. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua gari aina ya SUZUKI LANDY

    Wakuu habari za jioni! Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Canter inauzwa

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa..na haina udalali wowote karibuni My number. 0714 664 520
  13. Vhagar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpenda nampenda ila mimi ni aina ya mtu nisiyependa kuongea kwa simu

    Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo". Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...
  14. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanafanikiwa kirahisi kwa aina ya marais wetu Afrika

    Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani. Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari la kukodi aina ya Toyota fortune new model, Toyota everest new model, Toyota Prado new model

    Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari. Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na...
  18. The bump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  19. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

    Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo. 255713520180
  20. Tigress

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Back
Top Bottom