aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini

    Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini 1. Utajiri kutoka kwa Mungu. 2. Utajiri kutoka kwa shetani. 3. Utajiri wa kurithi. 4. Utajiri wa bidii yako ya kupambana Aina 5 za umasikini. 1. Umasikini kutoka kwa Mungu. 2. Umasikini kutoka kwa shetani. 3. Umasikini wa kurithi. 4. Umasikini wa...
  2. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Aina za uchawi ziko tatu (3)

    1. Mwanga.. 2. Mshirikina 3. Mlogo(mchawi) • Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma. • Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa Konyagi Fusion. Konyagi Fusion zimekuja katika ladha mbili tofauti ikiwemo Konyagi Fusion ya ladha...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  7. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina za injini za Ndege na matumizi yake

    Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana. Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa. Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini yanaeleweka na tunatumia kwenye vifaa na vyombo vyetu vya usafiri. Injini inayozungumziwa hapa ni injini...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iliangalieni suala la aina ya mipango ya elimu, hali ni mbaya

    Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na: 1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania NECTA Mjitafakari sana: Awamu ijayo tungeni mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule kwa mizania yenu

    Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
  11. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini vifaru aina ya Leopard 2 Tanks ni muhimu kwa Ukraine?

    Kwa siku za hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiiomba sana Ujerumani wawapatie vifaru vya kivita aina ya Leopard 2 Tanks ambavyo wengi wa wataalam wa kivita wanaamini kwamba vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika vita kati ya Russia na Ukraine. Sasa ni kwa vipi silaha hii inaonekana kama "Game...
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mwanza: Pikipiki aina ya King Lion (used mwaka na miezi 6)

    Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎 cc zake ni kubwa, 150 cc Gear 5 Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu bei elekezi: 1,400,000 tu inapatikana: SUMVE MWANZA
  14. mludego

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
  15. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Aina mbili za Wachawi

    1. Wachawi wa kawaida wanaojulikana; wanaopaa na Nyungo, na kuloga na kuwanga!. Hawa wanamharibia mtu Maisha yake ya kimwili tu, kufanya mtu awe na kasoro fulani fulani za kimwili, au kimaisha. 2. Manabii wa Uongo: Hili ni kundi la Pili la wachawi!, ambalo ni hatari sana kuliko hilo la...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  17. McCollum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  18. Man Rody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za ma Ex

    Wakuu bila kuzunguka mbuyu wengi wetu tuna ma ex kabla ya kumpata yule ulieamua kuanzisha nae familia yani mke/mume, na kama hujaoa/olewa hii ni yako pia... hatuwatengi ma bachelor na single Madam zetu :D! Sasa bas hawa ma ex leo nawaweka categories 3 ambazo wote tunaweza kua familiar nazo. 1...
  19. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na overtake za aina hii

    Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
Back
Top Bottom