Ukraine kupokea ndege 42 za aina ya F-16

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Hapa sasa vita vitakua vinakwenda kwenye kiwango kipya, angani...

=========

Zelenskyy: Ukraine to receive 42 F-16 fighter jets

President Volodymyr Zelenskyy, who is currently on a visit in the Netherlands, has announced that 42 F-16 fighter jets "will be in Ukrainian skies".

Source: Zelenskyy on social media, Zelenskyy and Mark Rutte during a joint press conference
Quote from Zelenskyy: "The F-16s. A breakthrough agreement. Starting today, we have more specific [information].

They (F-16 fighter jets) will be in the Ukrainian skies. Thank you, Netherlands! Thank you, Mark [Rutte, Dutch Prime Minister]!"

Details: Zelenskyy posted a selfie with Dutch Prime Minister Mark Rutte in front of an F-16.

Later, Zelenskyy added that Ukraine would receive 42 F-16 fighter jets.

Earlier, a video of Zelenskyy walking around a military base in the Netherlands and looking at fighter jets emerged online.

Updated: During a joint press conference, Mark Rutte, Prime Minister of the Netherlands, said that the Netherlands has 42 F-16 fighter jets and it is still too early to talk about how many of them will be transferred to Ukraine.

Rutte explained that first Ukrainian pilots have to complete training in Denmark and Romania. The pilots are currently learning English [in order to be able to operate the aircraft and complete further training]. Military training is yet to begin and will take place in Romania.

The Dutch Prime Minister also stressed the importance of Ukraine having the infrastructure necessary to service the F-16s.

Zelenskyy said that he did not want to talk about the number of F-16s, but Rutte mentioned that the current negotiations concern 42 aircraft.

Background: For its protection, Ukraine needs to replace obsolete Soviet-era aircraft of various types with a single type of multi-role fighter jet. The F-16 may become such a fighter jet in the number of 200 pieces, said Yurii Ihnat, Ukraine's Air Force spokesman.

Source: Pravda
 
Tumewazoea toka mwanze akipewa hiki itakuwa hivi, akipewa hiki itakuwa vile waambieni wampe na nuclear kabisa ili mjue hakuna kitakachobadili upepo wa vita.
Mkuu kwani wewe huoni mafanikio? Putini aliiwazia Ukraine kwa vita ya saa 72, siku tatu tu sasa mwaka 2 unaenda zake? ni kwa sababu hiyo ya F-16 ndio iliyoipa uimara Ukraine hadi hapo walipo kutoka saa 72 hadi miaka isiyojulikana lakini adui kuweza kutolewa miji mikuu na kurudishwa nyuma alikotoka kila kukicha.
 
F-16 ni kiboko ya mifumo ya ulinzi ya Urusi chapa S-300 na S-400.Hili limejidhirisha huko Syria ambapo Urusi wameweka hii Mifumo .Kitu cha ajabu ndege za F-16 toka Israel zinashambulia ,Iran -proxies , zilizopo Syria ,na hii mifumo ya ulinzi ikiwepo!
 
Mkuu kwani wewe huoni mafanikio? Putini aliiwazia Ukraine kwa vita ya saa 72, siku tatu tu sasa mwaka 2 unaenda zake? ni kwa sababu hiyo ya F-16 ndio iliyoipa uimara Ukraine hadi hapo walipo kutoka saa 72 hadi miaka isiyojulikana lakini adui kuweza kutolewa miji mikuu na kurudishwa nyuma alikotoka kila kukicha.
Ingekuwa ni Ukraine na Russia pekee hata masaa 72 yangekuwa mengi sana ila kwakuwa Dunia nzima ya upande wa magharibi iliamua kumsaidia ZELENSKY basi ilitakiwa Urusi isambaratike baada ya masaa 72 lakini Cha ajabu mwaka wa pili huu bado Urusi anawatesa
 
Tupatieni ushahidi ambao Putin aliwahi kutamka kwambavita ndani ya Ukraine itachukua siku tatu kumalizika, tupatie link timsikilize - mnapenda sana kutuletea story za kutunga.

Ndio maana kila siku nawaulizaga hapa,hivi mnajua Merikani walipo vamia North VietNam walidhani ingewachukua karibu miaka ishirinin au? na mwisho wa siku wakaja kushindwa kwa aibu kubwa na walima mpunga na wavaa vikata mbuga

Wakati mwingine jifunzeni kubakiza hakiba ya maneno mnapo yakejeri maifa mengine specifically Russia, mfano: hivi sasa nani ambaye hajui kwamba Urusi inapagana na mataifa yote ya NATO kwa kificho kujaribu kuisaidia Ukraine lakini wote wanapata cha cha mtema kuni- hasa hii ya hyped counter offensive ndio imewafagilia mbali troop na silaha zao USA hawakuamimi macho yao silaha zao zilipotiwa kiberiti na troops zaidi ya 2,400 NATO na Ukraine kuuwawa within 24 hours silaha za NATO walizo kuwa wanaizuga Dunia kwamba ndio zitaimaliza Urusi na Putin,tuliona zinatiwa kiberiti na silaha za Urusi mchana kweupe kwenye luninga - hakuna cha vifaru za Leopard/Tiger au Challenger vililipuliwa kiufundi kweli kweli mpaka Merikani kakimbiza vifaru vya kwake kwenda kuvificha kusiko julikana hakuvipelekwa Ukraine, Merikani hataki Dunia ishuhudie vifaru vyake vya Abram vikitiwa kiberiti na silaha za Urusi vikilipuliwa wanunuzi hawatakuwa na imani tena na vifaru za Kimerikani hivyo kusababisha kosesha soko la vifaru vya Abram huko mashariki ya kati ma mashariki ya mbali, akili zote za Merikani ni kufikiria uanzishwaji wa vita ili wapate soko la kuuza silaha, hiyo ndizo policy za uanzishaji viwanda vikubwa vya kuunda silala (MIC) wamiliki wakubwa wa viwanda hivyo wamewatia mifukoni baadhi ya viongozi wakubwa Serikalini pamoja na baadhi ya wabunge.

Leo hii wewe unatujia na hoja hapa kwamba two years of Putins forces in Ukraine is like an eternity, umesahu VietNam Kaskazini na Afghanistan, je, iliwachukuwa US na genge lake miaka mingapi kupigana na kushindwa vita na kutiwa aiibu na rag tag people's militia, we saw American forces cut and run like mad scared of approaching Taliban's emulating North VietNam.Vietcong decades back.
 
Hizi ndege ni muhimu sana ili offensive ifanikiwe.

Zile saab gripen za Sweden huenda nazo zikasaidia kama watapewa sababu ya gharama nafuu ya uendeshaji tofauti na F-16 ila kwenye ubora sijajua ipi nzuri.

T14 Armata
 
Tupatieni ushahidi ambao Putin aliwahi kutamka kwambavita ndani ya Ukraine itachukua siku tatu kumalizika, tupatie link timsikilize - mnapenda sana kutuletea story za kutunga.

Ndio maana kila siku nawaulizaga hapa,hivi mnajua Merikani walipo vamia North VietNam walidhani ingewachukua karibu miaka ishirinin au? na mwisho wa siku wakaja kushindwa kwa aibu kubwa na walima mpunga na wavaa vikata mbuga

Wakati mwingine jifunzeni kubakiza hakiba ya maneno mnapo yakejeri maifa mengine specifically Russia, mfano: hivi sasa nani ambaye hajui kwamba Urusi inapagana na mataifa yote ya NATO kwa kificho kujaribu kuisaidia Ukraine lakini wote wanapata cha cha mtema kuni- hasa hii ya hyped counter offensive ndio imewafagilia mbali troop na silaha zao USA hawakuamimi macho yao silaha zao zilipotiwa kiberiti na troops zaidi ya 2,400 NATO na Ukraine kuuwawa within 24 hours silaha za NATO walizo kuwa wanaizuga Dunia kwamba ndio zitaimaliza Urusi na Putin,tuliona zinatiwa kiberiti na silaha za Urusi mchana kweupe kwenye luninga - hakuna cha vifaru za Leopard/Tiger au Challenger vililipuliwa kiufundi kweli kweli mpaka Merikani kakimbiza vifaru vya kwake kwenda kuvificha kusiko julikana hakuvipelekwa Ukraine, Merikani hataki Dunia ishuhudie vifaru vyake vya Abram vikitiwa kiberiti na silaha za Urusi vikilipuliwa wanunuzi hawatakuwa na imani tena na vifaru za Kimerikani hivyo kusababisha kosesha soko la vifaru vya Abram huko mashariki ya kati ma mashariki ya mbali, akili zote za Merikani ni kufikiria uanzishwaji wa vita ili wapate soko la kuuza silaha, hiyo ndizo policy za uanzishaji viwanda vikubwa vya kuunda silala (MIC) wamiliki wakubwa wa viwanda hivyo wamewatia mifukoni baadhi ya viongozi wakubwa Serikalini pamoja na baadhi ya wabunge.

Leo hii wewe unatujia na hoja hapa kwamba two years of Putins forces in Ukraine is like an eternity, umesahu VietNam Kaskazini na Afghanistan, je, iliwachukuwa US na genge lake miaka mingapi kupigana na kushindwa vita na kutiwa aiibu na rag tag people's militia, we saw American forces cut and run like mad scared of approaching Taliban's emulating North VietNam.Vietcong decades back.
Kama ingekuwa NATO wapo kwenye uwanja wa vita sasaiv Russia ingekuwa limebaki vumbi tu., kilichopo na kinachoonekana kutoka NATO ni Ukraine kupewa silaha kwa awamu kwa mujibu wa vamizi anavyohitaji na hata hiyo misaada ya silaha Putin alionya vyombo vyote vya habari ulimwenguni vilimkoti akitangaza kwamba yeyote atakaeisaidia Ukraine atamjibu kwa nuclear. sasa silaha tokea siku ya kwanza Putin alipoivamia Kyiv Ukraine anapewa silaha mpaka ameweza kumtoa vamizi ndani ya miji mikuu Kyiv mpaka sasa amebaki huko mpakani nako anaendelea kufurushwa kila kukicha Ukraine wanarejesha ardhi yao.

Eneo ambalo Russia walishalidhibiti Ukraine ni mfano wa nchi ya Newzerland lakini leo hilo eneo liko wapi? pale Kyiv ilikuwa ni magari ya kivita tu kutoka Urusi leo yako wapi? wanajeshi wa Russia walikuwa wamezagaa mitaani Ukrain leo wako wapi?, msururu wa vifaru aliokwenda nao Ukraine ulikuwa na urefu wa kilomita 64 leo uko wapi ule msururu, yale mafaru vimebaki ni maonyesho tu watoto na wageni wanapiga navyo picha entertainment.

Putin pia alisema ikishambuliwa Russia atajibu kwa nuclear na hapo vita ya tatu ya dunia itakuwa imeanza sasa kauli zake zinamsuta Urusi inapigwa kama ngoma, drones kutoka Ukraine zinatua juu ya paa analolala Putin kule Kremlin
 
Ingekuwa ni Ukraine na Russia pekee hata masaa 72 yangekuwa mengi sana ila kwakuwa Dunia nzima ya upande wa magharibi iliamua kumsaidia ZELENSKY basi ilitakiwa Urusi isambaratike baada ya masaa 72 lakini Cha ajabu mwaka wa pili huu bado Urusi anawatesa
Tupe mfano ni jeshi lipi la NATO lipo uwanja wa vita? Ukraine anapewa silaha tu wanaopigana ni wanajeshi wazalendo wa Ukraine pamoja na raia wema walio na uchungu wa nchi yao, adui alishaingia Kyiv lakini akaweza kufurushwa mpaka sasa yuko huko pemben pemben nako kila siku anarudishwa alikotoka

Putin alikuwa akitumia mdomo kuidanganya duni kwamba yeye ni superpower na nyinyi wajjinga muliamini hivyo sasa munachokiona uwanja wa vita munamshangaa superpower huyu ambaye nchi yake imekosa hata ulinzi wa anga kila leo drones za Ukraine zinatua juu ya mapaa yao nyumba na kule Kremlin, supwerpower gani huyu alieshindwa vita ya ardhini 100% na kurudi black na kurusha mabomu kuangusha nyumba za raia, mpata mpatae
 
Kama ingekuwa NATO wapo kwenye uwanja wa vita sasaiv Russia ingekuwa limebaki vumbi tu., kilichopo na kinachoonekana kutoka NATO ni Ukraine kupewa silaha kwa awamu kwa mujibu wa vamizi anavyohitaji na hata hiyo misaada ya silaha Putin alionya vyombo vyote vya habari ulimwenguni vilimkoti akitangaza kwamba yeyote atakaeisaidia Ukraine atamjibu kwa nuclear. sasa silaha tokea siku ya kwanza Putin alipoivamia Kyiv Ukraine anapewa silaha mpaka ameweza kumtoa vamizi ndani ya miji mikuu Kyiv mpaka sasa amebaki huko mpakani nako anaendelea kufurushwa kila kukicha Ukraine wanarejesha ardhi yao.

Eneo ambalo Russia walishalidhibiti Ukraine ni mfano wa nchi ya Newzerland, msururu wa vifaru aliokwenda nao Ukraine ulikuwa na urefu wa kilomita 64 leo yale mafaru vimebaki ni maonyesho tu watoto na wageni wanapiga navyo picha entertainment.

Putin pia alisema ikishambuliwa Russia atajibu kwa nuclear na hapo vita ya tatu ya dunia itakuwa imeanza sasa kauli zake zinamsuta Urusi inapigwa kama ngoma, drones kutoka Ukraine zinatua juu ya paa analolala Putin kule Kremlin
Mkuu umeelezea kinagaubaga👍
 
Mkuu kwani hawa ni ndugu zako au?
JamiiForums1192469401.jpg
 
Back
Top Bottom