Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,951
32,619
Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake

Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu

Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara mbili ama tatu kila mwezi

Hakika utahamaki si hivyo utaondoaa Makamishna wote waende mitaani kusikiliza wananchi

Wasaidizi wako wakuige watoke ofsini wasikilize shida za wananchi

Kuna wakati unakuta mhuni ana hati mwenye umiliki halali ana hati unawaza zimetoka serikali moja ama kuna watu wana..Zao

Mungu akupe mwanga kupambana nao na usikate tamaa tunaomba wananchi wazidi kukuombea upate mda wa kukutana nao kila maraa

Kuna ambao wakijua wanakuja hao wasaidizi kuruhusu wanakuta washakuzwa potezea huyo wananchi anaishia kulia

Allah akupe miaka mingi dunian
 
Imagine hioo kampuni imelamba mil 166 za wananchi kwa kuwainyesha ramani wanunuzi

Hati kila ukiombaa wanakusumbua wanakupa ofisaa wa manispaa /ardhi unafika wanakupiga porojoo unaaga kama wachawi vile

Nani anawapa vibali vya kuuza mali za manispaa sio malizao mns wana connection na ofisi za manispaa ama ardhi....Vita n ndefuu ila tutashinda mh waziri

Mungu akupe afya njema maombi yangu kwa mola kila iitwaapo leoo
 
Back
Top Bottom