Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,465
- 1,331
Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake.
Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko viongozi hao wanapaswa kulipia tzs 133,000/=. Sasa viongozi hao ndiyo nguzo ya ushindi kwa madiwani, na wabunge why ktk zoezi hili wabunge wasikubali kubeba gharama hizo?
Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ujao pikipiki hizi ndizo nyenzo muhimu za ushindi - wabunge tafakalini hilo na kuichukuwa hatua haraka.
Ngaika Ndenda
Kakonko