afya

  1. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara. Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kimara Mavurunza, mtoto chini ya miaka mitano akishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa

    Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Gongo la Mboto A na B: Taka zalundikwa Barabarani, zinaleta uharibifu wa barabara na kuhatarisha Afya za Watu

    Jumapili nilipata fursa ya kutembelea eneo la Gongolamboto AIESS, lakini nilichokikuta kuhusu hali ya usafi kinatia wasiwasi mkubwa. Taka zimejaa na kulundikwa barabarani kabisa, hali inayoonyesha kuwa zimekaa kwa muda mrefu bila kuondolewa. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba taka hizo zipo...
  4. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  6. JamiiForums Tanzania DC wa Tarime, Meja Gowele: Mwananchi anayepata changamoto Kituo cha Afya Nyangoto atoe taarifa mapema

    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo amezungumza na Wagonja na uongozi wa kituo hicho. Ziara hiyo imefanyika baada ya Mdau kuelezea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kongamano: Hakikisha hukosi kufuatilia hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa afya yako na kizazi chako

    Dar es Salaam, Juni 6, 2026 — Wizara ya Afya leo itahodhi Kongamano la PPP lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHIMBILI-CHPE). Tukio hili limeandaliwa kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) pamoja na wadau...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto tunazopitia wanafunzi wa Kozi za Afya katika Chuo cha Kolandoto College of Health Science [KCHS]

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi; 1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Ubora wa Maji ya Afya umepungua au kuna uchakachuaji sokoni?

    Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza. Ndani ya maji kulikuwa na uchafu unaofanana kabisa na ule unaopatikana kwenye maji ya kandoro/kidebe. Kutokana na hali hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  11. JamiiForums Tanzania Nimefatilia hizi ndizo kozi za afya unazoweza kuajiriwa kwa urahisi

    ●Biometrical Engineering Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo ●clinical ●Nursing ●health laboratory ●physiotherapy ●Dental therapy and surgeon ●Environmental health ●Radiology ●Nutrition ●occupational therapy ● Technologist pharmacy
  12. JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  13. JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
  16. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  17. JamiiForums Tanzania Kupata Maendeleo ya Kweli, Watanzania Lazima Tubadili Mind Set Tuchagie Maendeleo, Afya na Elimu. BMH Hospital Anahitaji 7B!. Tuichangie!.

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba, hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya wa Wilaya ya Siha tuliajiriwa 2024, hadi sasa hatijathibitishwa kazini

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Afya Kilimanjaro (KICHAS) hatujapata vyeti, tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika

    Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika. Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafawidhi wa Vituo vya Afya hatuna posho ya madaraka kama ilivyo kwa wenzetu Wakuu wa Shule

    Kwa muda mrefu sasa hatupati posho ya madaraka, tofauti kabisa na wenzetu wa sekta ya elimu hasa wakuu wa shule za msingi ambao wao wanalipwa posho hiyo, hadi kufikia laki mbili kwa mwezi. Sisi Wafawidhi wa Vituo vya Afya, kuanzia ngazi ya hospitali hadi zahanati, hatupati chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…