afya

  1. GENTAMYCINE

    Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  2. kavulata

    Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  3. Mparee2

    Bima ya Afya - Inakuwaje Mstaafu wa Serikali anufaike na Mstaafu wa sekta binafsi asinufaike?

    Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje? Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame! Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
  4. BARD AI

    Wahudumu 5 wa Afya wamefariki kwa Ebola hadi sasa, Rais Museveni atangaza Karantini ya siku 21 kwenye wilaya hatarishi

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
  5. N

    Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  6. J

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  7. Kipenzi Changu

    Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  8. L

    China: Tiba asili zinavyochangia huduma za afya kwa jamii

    Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi. Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
  9. K

    Changamoto kwenye muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
  10. Jidu La Mabambasi

    Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
  11. N

    Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  12. BARD AI

    Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  13. Mwanaisha Mndeme

    ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  14. D

    Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
  15. Sildenafil Citrate

    Upofu na uoni hafifu

    Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu. Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza kuepukika kwa kushughulikia vizuri magonjwa yanayoweza kudumaza afya ya macho mfano kisukari na...
  16. K

    Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  17. Suley2019

    Dodoma: Watu 250 hupima afya ya akili Mirembe kila siku

    Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe jijini Dodoma, inapokea wastani wa wagonjwa wa akili 150 hadi 250 kwa siku kwa ajili ya matibabu. Idadi hiyo imetajwa kuwa katika kitengo cha huduma za nje ambapo kati ya wagonjwa hao, wagonjwa 30 hadi 70 hupewa matibabu na wagonjwa tisa hadi 15...
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini ndoa nyingi za Bomani (Serikalini) zina Afya 'Kimahusiano' kuliko zile za Makanisani mwetu?

    Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
  19. Sildenafil Citrate

    Jinsi ya kutunza afya ya Figo

    Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu. Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa binadamu huwa na upungufu mkubwa wa sukari, kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuzalisha vichocheo vya...
  20. BARD AI

    Kwenye kila watu 8, mmoja ana tatizo la Afya ya Akili Tanzania

    Sababu inayochangia hali hiyo ni mabadiliko katika Malezi, Msongo wa Mawazo wa Kushindwa Kuhimili Changamoto, Ongezeko la Magonjwa yasiyoambukiza na Matumizi ya Vilevi hususan Pombe, Bangi na Dawa nyingine za Kulevya. Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge aliyemwakilisha Waziri wa...
Back
Top Bottom