Habari.nilihabarisha hapa juzi na leo nakumbushia.kata ya mshangano mtaa wa mshangano manispaa ya SONGEA watu wengi wanajisaidia porini kuelekea uwanja wa mpira ukipita pale pananuka Sana na hilo linafanyika si kwamba choo ya kulipa hakuna ipo.si hilo tu pale uwanjani watu wanacheza...
Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE
Imeandikwa na.Mwl.RCT
UTANGULIZI
Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na mama mzazi ambaye anapigania haki za afya kwa mtoto wake. Mama huyu atakabiliana na changamoto...
Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati lilizidisha uzuri wa mazingira.
Naam!hakuna ambaye angeliangalia bila kulimwagia sifa kedekede. Ndege nao...
Habari.
Ktk manispaa hii kuna mitaa michafu Sana ikiwemo mtaa wa mshangano yani pale stendi ya malori zimemwagwa taka Hadi pananuka hazijazolewa.
Njia ya kwenda kwa diwani kuna taka njiani yani mnataka Hadi tupate mlipuko wa magonjwa?
Wilaya yetu maeneo ya kumwaga taka na kuzichoma yapo...
"Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa
"Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa.
Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...
SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI
Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali.
Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter:
"Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani
Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu.
Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa.
Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai.
Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili
Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya kumi na tano na lingine kufeli kwa lift ya kupandisha na kushusha na kupandisha watu ghorofani ndani...
Simulizi:
Siku moja, nilipokea simu kutoka kwa kaka yangu na sauti iliyosikika ilikuwa ya wasiwasi kabla ya simu kukatika ghafla. Nilijaribu kupiga simu mara kadhaa, lakini hakuna aliyepokea. Baadaye, muuguzi kutoka hospitali moja ya serikali huko Sinza alipokea simu.
Nilikwenda haraka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.