Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo.

Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe.

Sheria ina Uamuzi mkubwa katika maisha ya watu.

Afya ina maamuzi juu ya Uhai watu.

Kuna haja ya vijana hawa walio sehemu muhimu kama hizi kupikwa vilivyo na tuwapongeze law school.
 
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo .

Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani ? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani ,Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe .

Sheria ina Uamuzi mkubwa katika maisha ya watu .

Afya ina maamuzi juu ya Uhai watu .

Kuna haja ya vijana hawa walio sehemu muhimu kama hizi kupikwa vilivyo na tuwapongeze law school .
Afya Kuna mitihani ya license aniaa law school tosha kabisa 😃
 
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo .

Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani ? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani ,Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe .

Sheria ina Uamuzi mkubwa katika maisha ya watu .

Afya ina maamuzi juu ya Uhai watu .

Kuna haja ya vijana hawa walio sehemu muhimu kama hizi kupikwa vilivyo na tuwapongeze law school .
BINAFSI NAIPONGEZA LAW SCHOOL KUSIMAMIA TAALUMA NI BORA TUKAWA NA WANASHERIA WACHACHE KULIKO MAELFU VIHIYO KWANZA HATUSHINDANI NA NCHI YOYOTE KUWA NA WANASHERIA WENGI
 
Back
Top Bottom