afya

  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Je, wajua afya bora katika jamii inaanza na mimi na wewe?

      Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba uwajibikaji wa kiafya hauhusiani tu na kujali afya yetu binafsi, bali pia kwa kugusa sehemu kubwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Upo wapo afisa afya wa manispaa na afisa afya wa kata?

    Habari.nilihabarisha hapa juzi na leo nakumbushia.kata ya mshangano mtaa wa mshangano manispaa ya SONGEA watu wengi wanajisaidia porini kuelekea uwanja wa mpira ukipita pale pananuka Sana na hilo linafanyika si kwamba choo ya kulipa hakuna ipo.si hilo tu pale uwanjani watu wanacheza...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Mama mzazi anapigania haki za afya kwa mtoto wake

    MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE Imeandikwa na.Mwl.RCT UTANGULIZI Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na mama mzazi ambaye anapigania haki za afya kwa mtoto wake. Mama huyu atakabiliana na changamoto...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tunu ya Mazingira

    Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati lilizidisha uzuri wa mazingira. Naam!hakuna ambaye angeliangalia bila kulimwagia sifa kedekede. Ndege nao...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Bwana afya unafanya nini sasa!

    Habari. Ktk manispaa hii kuna mitaa michafu Sana ikiwemo mtaa wa mshangano yani pale stendi ya malori zimemwagwa taka Hadi pananuka hazijazolewa. Njia ya kwenda kwa diwani kuna taka njiani yani mnataka Hadi tupate mlipuko wa magonjwa? Wilaya yetu maeneo ya kumwaga taka na kuzichoma yapo...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Bupe Mwakang'ata aibana Serikali kuhusu Matibabu ya Afya kwa Wazee

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa "Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya 807 nchini kujengewa wodi za wagonjwa

    Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, Uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai

    SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
  10. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

    Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali. Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya anasema aliyekufa ni Mmoja tu, ila Mashuhuda Wanaohojiwa wanasema ni Watatu je, tumuamini nani?

    Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

    Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai. Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira 800 za afya kumwagwa

    wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
  19. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha MC Joel Misesemo ni changamoto ya afya ya akili

    Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya kumi na tano na lingine kufeli kwa lift ya kupandisha na kushusha na kupandisha watu ghorofani ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…