Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS".
Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza.
Haya sasa...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano.
Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
Afya ni hali ya kujisikia vizuri ki mwili , ki akili ki roho na ki utu, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Ili mtu aendelee na shughuri zake za kila siku ni lazima awe na afya njema , hii ndio inaleta kichwa Pasipo afya hakuna siasa.
Afya ya mtu inapokuwa dhahifu inabidi apate matibabu ili...
Serikali imekuwa ikijitahidi kuboresha huduma za afya ikiwemo kuja na sera mbalimbali zinazohusu huduma za Afya lakini bado imeonekana kuna changamoto ambazo hazijapatiwa ufumbuzi ambazo zinaendelea kuathiri wagonjwa ambao wengi hali zao za kipato ni duni. Upatikanaji wa huduma bora za Afya...
UTANGULIZI.
Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali.
Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la watoa huduma za afya, vifaa tiba na teknolojia ihusuyo afya wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024.
Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
Habarini za wakti Wana JF,
On the point, nimekuwa napigwa na mshangao sana kwa haya yanayoendelea katika Wizara zetu hizi nyeti ambayo ni Afya na pacha wake pia Elimu.
Nianze kuzungumzia sekta ya Afya ambayo imekuwa muhanga wa hii kadhia,, hivi karibu kumekuwa na mambo mbalimbali ya ovyo ambayo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo.
Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU
Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations"
Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao;
1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
Anonymous
Thread
afya
baraza
hatarini
kupoteza
malengo
mct
mwaka
ndoto
tanganyika
wizara
wizara ya afya
zaidi ya
UTANGULIZI:
Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili.
Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
KISIWA CHA RUKUBA KIMEKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
Kisiwa cha Rukuba kiko ndani ya Kata ya Etaro yenye vijiji vinne (Busamba, Etaro, Mmahare na Kisiwa cha Rukuba).
Kisiwa hiki cha Musoma Vijijini kina Shule ya Msingi yenye vyumba vya madarasa vya kutosha ikiwepo ziada ya vyumba viwili...
ZIARA YA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA KATAVI MHE. MARTHA FESTO MARIKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA SIBWESA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Katavi na kutembelea kituo cha Afya cha Sibwesa
Mhe. Martha Festo Mariki amefanya...
Utangulizi
Nyanja ya afya imekuwa ikikumbwa na mabadiliko ya haraka kutokana na ongezeko la teknolojia, maendeleo ya kisayansi, na mabadiliko ya kijamii. Mabadiliko haya yameleta fursa kubwa ya kuimarisha utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya. Makala hii inalenga kufanya uchambuzi...
Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee.
Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.