afya

  1. JamiiForums Tanzania Kubeba madeli ya Ice-cream mgongoni ni hatari kwa Afya

    Mgongo ni kiungo muhimu sana kwa afya ya kiumbe akiwemo binadamu kilichotengenezwa kwa pingili za mifupa yenye tundu katikati zilizounganishwa kwa misuli maalumu inayonesa iitwayo ligament. Mgongo una kazi muhimu sana kama vile kushikilia viungo vingine kama manya, mbavu, fuvu la kichwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie, Dampo la Bakhresa ni hatari kwa Afya za Wananchi wa Kijiji cha Kazole

    Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi. Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kununua eneo kwa ajili ya kutupa taka. Kwa wakati huo asilimia kubwa ya eneo lilikuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo kama hivi kwenye Mabasi ya Luxury ni kinyaa na hujuma kubwa

    Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu za Mabasi Kigoma na Kaliua- Mabwana Afya wajipime

    Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sote tuitikie: Kazi Iendelee! Moja kwa moja kwenye mada. Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Watu wa afya wasisitize usafi wa vyombo vinavyotumiwa mighahawani

    Katika maeneo ambayo tunapokezana sana vifaa vya kulia chakula ni migahawa ya kitaa na maeneo ya wauza supu. Unakuta kijiko kimoja kimepita kwenye midomo ya watu 20. Ninachotaka kushauri hapa ni vema watu wa afya mtoe agizo rasmi kila kijiko kikitumika siyo kioshwe na sabuni na maji safi na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya "Afya kwa Wote" ilivyo kitanzi haki ya mtoto

    MALENGO ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs), hususan lengo la tatu ni kuhakikisha uwapo wa Afya Bora na Ustawi. Umoja wa Mataifa (UN), unahimiza uwekezaji kwenye huduma za afya. Ajenda ya Shirika la Afya Duniani (WHO), mwaka 2018 katika maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani, yalilenga kuhamasisha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ataka waajiri sekta binafsi kuzingatia afya za wafanyakazi kazini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi waajiri nitoe wito kwenu zingatieni afya ya wafanyakazi na usalama mahala pakazi" Pia ameongeza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aipongeza Benki ya CRDB kwa kuimarisha afya nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameiopongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi kujitoa ili kuongeza nguvu kwani mahitaji ni makubwa. Rais Mwinyi ametoa pongezi hizo kwenye kilele cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  13. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidie process ya kubadili kozi chuo cha afya cha serikali.

    Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ifanye haya kuimarisha Utawala bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya

    Afya ya msingi(PHC) Upatikanaji wa huduma ya afya na mipango ya afya ya msingi katika ngazi ya jamii, Zahanati,na vituo vya afya ni changamoto ngumu sana katika nchi zinazoendelea. Utawala Bora katika afya ya msingi ni jambo muhimu sana ambalo serikali imesahau kuwekea kipaumbele. Hii...
  18. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana Fanyeni Michezo Ili Kuimarisha Afya Zenu na Kutimiza Malengo na Ndoto Zenu

    NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba MDH wasiondoke mkoa wa Geita

    Wasalaam ndugu wana Jukwaa, Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera sana mheshimiwa Waziri Ummy. Wewe ni jembe haswa kwa maoni yangu na ni askari wa mwavuli wa Mheshimiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…