afya

  1. JamiiForums Tanzania Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malipo ya watumishi wa afya Hanang kwa waliosaidia wahanga kuna upigaji mkubwa

    Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange aagiza uchunguzi ufanyike ujenzi wa Kituo cha Afya Malengamakali

    DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo Dugange ameielekeza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuunda timu ya uchunguzi kukagua matumizi ya fedha nza...
  4. JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  5. JamiiForums Tanzania Kumwaga mbegu za kiume/kike kiholela ni hatari kwa afya

    Habari za mda ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada Kumwaga mbegu za kiume au za kike ni hatari kwa afya.💪💪💪💪💪💪 Nayaandika haya nikitumia Biblia Kama Mwongozo wa maisha,Kwani kwa kuamini yaliyoandikwa ndipo tunakuwa na maisha marefu. Maisha marefu Kwasababu kuna ufufuo kwa wale watakaoishi...
  6. JamiiForums Tanzania HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  8. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wizara ya afya, tamisemi na wahusika wengine

    Salamu ziwafikie nyote, Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

    Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia kwenye hatari ya Magonjwa Yasiyoambukiza. Amesema kasi ya ongezeko la Wagonjwa wa Figo inaonesha wazi...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wizara ya Afya, Nactevet na Serikali kwa ujumla

    TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA. Nikiwa kama mdau wa elimu napenda kueleza mambo mchache juu ya mwenendo mzima wa chuo cha ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya IFM ni vichafu sana, vinahatarisha afya za watumiaji

    Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
  13. JamiiForums Tanzania Vifaa gani natakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani?

    Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani! Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usumbufu wa kupata likizo HAI DC hasa idara ya Afya

    Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje. Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
  16. JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  18. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Makuburi wahudumu wenu wa maabara wachunguzwe

    Habari, Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito. Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa. Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
  20. JamiiForums Tanzania MSD yasambaza vifaa tiba vya zaidi ya Tsh 930m katika Vituo vya Afya 24 vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…