afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

    Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo. Moja ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa Kaswende husababisha matatizo ya Afya ya Akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu

    Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania. UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya Afya ya Akili kwa Wagonjwa.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiti unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao hata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu, sijui kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija kama vijana wanawaza mambo yasiyo na maana na hawawezi kujitegemea. Kundi la watu angalau wapo timamu ni over 35.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza: Ushoga Ukahaba Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee Kamari Kula bange Ulevi na shisha Kulelewa na majimana Trisome Unga...
  7. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Vitu gani ungefanya au usingefanya kama ungekuwa unajipenda kwa dhati?

    Wakuu kwema? Kuna mambo mengi tufanaya kwa ajili ya wengine huku mara nyingi tukijisahau sisi wenyewe. Inaweza kuwa unafanya kwa kupenda na wakati mwingine ni kwa kujilazimisha kwakuwa hatutaki kuwakwaza wapendwa wetu, au kuwafurahisha watu wengine, na mara nyingine ni katika kutekeleza tu...
  8. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

    Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali. Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Boys Initiave yatoa elimu maalum ikiwemo afya ya akili kwa wanafunzi wa kiume

    Taasisi isiyo ya Kiserikali ya 'Boys Initiave' imetoa elimu maalum ikiwemo afya ya akili kwa wanafunzi wa kiume katika shule ya Sekondari ya ALFA iliyoko Mikocheni, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Akizungumzia elimu hiyo Mkurugezi Mtendaji wa taasisi hiyo, Dayana Rose Alfred Rweyemamu amesema...
  10. george aloyce

    JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi ya mzazi yanavyoweza kuathiri afya ya akili ya mtoto

    Habari jamani wana JF, Mimi sio fundi mzuri wa kuandika na kupangilia sentesi mtanisamehe kwa usumbufu wowote unaojitikeza kwenye uandishi wg, mimi naitwa j ni mzaliwa wa dar nimekulia Dar pia ila kwa sasa niko mkoani kibiashara katika historia yg ya maisha nimepitia mambo magumu sana jamani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha MC Joel Misesemo ni changamoto ya afya ya akili

    Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya kumi na tano na lingine kufeli kwa lift ya kupandisha na kushusha na kupandisha watu ghorofani ndani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi. Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ajikata uume wake na kuutupa. Akipona jeraha lake atafikishwa Mahakamani kujibu shtaka linalomkabili

    Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua. Kamanda wa polisi mkoa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

    Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo. Kuathiri kujiamini...
  17. jerryperry2020

    JamiiForums Tanzania Je, hili la michezo ya upatu ni tatizo la afya ya akili au ulimbukeni tu?

    Salaam wakuu Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry. Compounding huku akinisihi...
  18. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
Back
Top Bottom