afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  2. PharaohMtakatifu

    Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

    MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA "Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa Hata hivyo mama...
  3. kavulata

    Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  4. M

    Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  5. Miss Zomboko

    Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili. Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
  6. BigTall

    Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  7. BARD AI

    Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  8. Tanzanite klm

    Afya ya akili, mwili na roho

    Afya ya akili-Usomaji wa vitabu Afya ya mwili-Lishe bora na mazoezi Afya ya roho-soma kitabu chako cha imani, maombi, dua na kushiriki na ibada. SIMPLIFIED. Kuongezea iko tafauti ya ubongo na akili. Ubongo upo ndani ya mwili. Akili ipo ndani ya nafsi. Let me simplify it. Mtu anaundwa na vitu...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

    Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo. Moja ya...
  10. BARD AI

    Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  11. BARD AI

    KWELI Ugonjwa wa Kaswende husababisha matatizo ya Afya ya Akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu

    Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania. UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya Afya ya Akili kwa Wagonjwa.
  12. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  13. L

    Ni wazi utafiti unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao hata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu, sijui kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija kama vijana wanawaza mambo yasiyo na maana na hawawezi kujitegemea. Kundi la watu angalau wapo timamu ni over 35.
  14. L

    Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza: Ushoga Ukahaba Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee Kamari Kula bange Ulevi na shisha Kulelewa na majimana Trisome Unga...
  15. Black Opal

    Vitu gani ungefanya au usingefanya kama ungekuwa unajipenda kwa dhati?

    Wakuu kwema? Kuna mambo mengi tufanaya kwa ajili ya wengine huku mara nyingi tukijisahau sisi wenyewe. Inaweza kuwa unafanya kwa kupenda na wakati mwingine ni kwa kujilazimisha kwakuwa hatutaki kuwakwaza wapendwa wetu, au kuwafurahisha watu wengine, na mara nyingine ni katika kutekeleza tu...
  16. Notorious thug

    Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

    Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali. Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
  17. N

    Taasisi ya Boys Initiave yatoa elimu maalum ikiwemo afya ya akili kwa wanafunzi wa kiume

    Taasisi isiyo ya Kiserikali ya 'Boys Initiave' imetoa elimu maalum ikiwemo afya ya akili kwa wanafunzi wa kiume katika shule ya Sekondari ya ALFA iliyoko Mikocheni, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Akizungumzia elimu hiyo Mkurugezi Mtendaji wa taasisi hiyo, Dayana Rose Alfred Rweyemamu amesema...
  18. george aloyce

    Jinsi maamuzi ya mzazi yanavyoweza kuathiri afya ya akili ya mtoto

    Habari jamani wana JF, Mimi sio fundi mzuri wa kuandika na kupangilia sentesi mtanisamehe kwa usumbufu wowote unaojitikeza kwenye uandishi wg, mimi naitwa j ni mzaliwa wa dar nimekulia Dar pia ila kwa sasa niko mkoani kibiashara katika historia yg ya maisha nimepitia mambo magumu sana jamani...
  19. J

    Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  20. L

    Kifo cha MC Joel Misesemo ni changamoto ya afya ya akili

    Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya kumi na tano na lingine kufeli kwa lift ya kupandisha na kushusha na kupandisha watu ghorofani ndani...
Back
Top Bottom