afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye tatizo la Afya ya Akili alivyotaka kumnyonga mwanae kwa kusikia sauti

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Huduma za Afya ya Akili ziingizwe kwenye Huduma za Mama na Mtoto

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  4. starlightz

    JamiiForums Tanzania Meditation: Maana, njia na faida zake

    Meditation ni mazoezi ya akili ambayo hutumiwa kufikia utulivu wa ndani na kuboresha hali ya kisaikolojia. Ni mazoezi ya kimwili na kiakili yanayojumuisha kutulia kwa muda, kuzingatia mawazo au pumzi, na kuachilia hisia na mawazo yasiyofaa. Kwa kawaida, meditation inalenga katika kupunguza...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Njia nne zinazoweza kukusaidia kuwa na kumbukumbu bora zaidi

    Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama "Dementia" na kuwa katika aina tofauti. Professor Richard Restak, anayefundisha sayansi ya ubongo katika...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Staa wa filamu Bruce Willis ana changamoto ya Afya ya Akili

    Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi. Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
  7. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Muziki na afya ya akili

    Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi, unyogovu na mkazo. Daktari wa tiba ya akili, Dk. Thomas R. Verny, anasema "Muziki ni tiba ya kiroho na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi, nini kinakupa ugumu kumuomba msamaha mtoto wako pale unapomkosea?

    Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea. Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, hauna furaha kabisa na hujui chanzo chake na kila njia unatumia haileti matumaini kwako?

    Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la kisaikolojia ambalo huitwa PTSD -KIWEWE CHA MATUKIO YENYE KUUMIZA, KUHUZUNISHA NA KUSHTUA SANA. Ambapo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kwenda kwenye ATM kutoa pesa yako halafu uisahau hapo hapo?

    Sitaki kupoteza muda wenu ni hivi! Jana majira ya saa mbili za usiku nilifika kwenye ofisi za NMB maeneo ya Himo pale kwenye ATM Kwa lengo kutoa kapesa kidogo Kwa lengo la kununua KITOCHI cha Konyagi pale Mombasa Highway. Nilishangaa kuingiza kadi kwenye ATM na kutoa pesa Ile napapasa macho...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Makanisa Ya Kilokole Yamechangia Watu Wengi Kuwa na Ugonjwa Wa Afya Ya Akili

    Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga. Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka. Hebu mwangalie Pastor Mgogo, Yule mzee Majumbasita, Mashimo, Geo David Wa Arusha Kuna mmoja hivi ni comedian, Masanja...
  15. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

    Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii? Kanisani. 1. Unadaiwa Fungu la kumi 2. Ujenzi wa Kanisa. 3. Kumnunulia gari Mtumishi. 4. Ujenzi nyumba ya Pastor. 5. Mchango kwa wasiojiweza. Serikalini. 1. TRA 2: TOZO. 3: Leseni ya biashara. 4: Bill ya MAJI 5: Bill ya umeme 6:Tozo ya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya ajabu ajabu yanashamiri kwasababu ya Tatizo la Afya ya Akili

    Waziri Ummy amesema “Bila afya ya akili hakuna afya, lakini tunaogopa tunajificha katika kivuli cha unyanyapaa. Tutasikiliza kutoka kwa wachokoza mada tutaangalia tatizo la afya katika jamii, shuleni, afya ya akili kwa watoto, binafsi kama waziri nimeona tuvunje ukimya.” Amesema tatizo la afya...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani ni Siku ya Kimataifa maalumu kwa kutoa Elimu ya masuala ya Afya ya Akili, Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Unyanyapaa wa Kijamii pamoja na athari zake kwa wale walioathirika na Walezi wao Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO: Afrika inaongoza kwa idadi ya watu wanaojiua duniani

    Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu 250 hupima afya ya akili Mirembe kila siku

    Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe jijini Dodoma, inapokea wastani wa wagonjwa wa akili 150 hadi 250 kwa siku kwa ajili ya matibabu. Idadi hiyo imetajwa kuwa katika kitengo cha huduma za nje ambapo kati ya wagonjwa hao, wagonjwa 30 hadi 70 hupewa matibabu na wagonjwa tisa hadi 15...
Back
Top Bottom