afrika

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 Watu Milioni 1.5 waliambukizwa VVU Barani Afrika

    Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Lema Mwanasiasa bora Afrika

    Habari ndugu wanajamii forums Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20. Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania NALA MONEY yafungua ofisi yake ya kwanza Afrika jijini Nairobi, Kenya

    Kampuni ya NALA MONEY Nala ya kijana Mtanzania Benjamini Fernandes imefungua rasmi ofisi yake ya kwanza Afrika, mjini Nairobi nchini Kenya. Ufunguzi wa ofisi hiyo uliambatana na utiaji saini mkataba wa kibiashara kati ya NALA na benki ya Equity nchini Kenya ili kuwawezesha Watu kutuma fedha...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua barabara ya Afrika mashariki (Arusha Bypass) KM 42.4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022 ======= Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
  6. Bikirajohola

    JamiiForums Tanzania Daraja la Magufuli kuwa la 6 kwa urefu barani Afrika

    Daraja la JP Magufuli linalojengwa Mkoa wa Mwanza, limetajwa kuwa refu zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati huku likishika nafasi ya sita kwa bara la Afrika. Daraja hilo ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 48.9, linatarajiwa kuwa na urefu wa kilomita 3.2 na linagharimu Sh716.3...
  7. Huja

    JamiiForums Tanzania Pasi bora ya Afrika - Shomari Kapombe

    Nianze kwa kusema SAKHOOOOOO Best goal of the year... Lakini kila nikitazama video clip ya goal la sakho, namtazama pia Shomari kapombe, namna alivyofinya ball, akatulia na kumchagua SAKHO. Mara nyingi tunamsifia aliyemaliza vizuri na kufunga goli na kumsahau aliyetoa pasi. Haikuwa goli la...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

    Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali. Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Mkutano wa Kawaida wa 22 wa wakuu wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo tarehe 21 Julai, 2022
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  11. Tindo

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki bila uongozi wa mzungu itakuwa ni genge la maigizo yasiyo na tija

    Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana linajadiliwa na kufikia hatua ya utekelezaji. Mengi ya makubaliano ya jumuiya hii huishia kwenye...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu suala la deni Afrika waendelea kuwekwa wazi, nchi za Magharibi haziwezi kutwisha lawama kwa wengine

    Kwa muda wa karibu muongo mmoja sasa vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikipata matope China kuwa ni chanzo cha mzigo wa madeni kwa nchi za Afrika, na kufanya baadhi ya watu waamini hivyo. Lakini baada ya tafiti mbalimbali zilizofanywa na taasisi huru za nchi za magharibi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Connection kazi za nje ya Afrika

    Habari ndugu zangu wa JamiiForums, am Mechanical Engineer by professional in oil and gas industries, niko natafatu connection za kazi za nje ya nchi hususani Canada, Belgium, France na Germany. Msaada kwa mwenye connection.
  14. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo... Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zatiwa wasiwasi na hasira na kuongezeka kwa ushawishi wa China barani Afrika

    Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  19. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Pre- Season: Singida Big Stars tunaenda kuweka kambi Geneva ya Afrika

    Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused. Timu itaweka...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
Back
Top Bottom