afrika

  1. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

    Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga kielelezo cha ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Likiwa kama bara lenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea, Afrika inaweza kusemwa kuwa "chanzo cha msingi" wa diplomasia ya China. Ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na moja ya nchi za Kusini, China imefanya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kirafiki kati ya Kusini na Kusini na nchi za...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii. Katika ziara yake ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo ni Kumbukizi ya Nguli wa Muziki Congo DR na Afrika Franco A.K.A Le Grand Mitre

    Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo; 1. Utunzi makini. 2. Upangiliaji wa nyimbo. 3. Upigaji bora wa solo gitaa. 4. Uibuaji wa vipaji vya muziki. 5. Nidhamu kwa wanamuziki. 6. Sebene la muda mrefu. 7. Kuchomekea majina...
  7. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba Queens ya Tisa kwa Ubora Afrika

    HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Nyerere “Mtume” wa Afrika

  9. L

    JamiiForums Tanzania Sinopharm inavyochochea uhusiano wa China na Afrika

    Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli. Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti IMF: Uchumi wa dunia utashuka hadi 3.2% mwaka 2022 na 2.7% 2023

    Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China. Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

    Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika. Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini. Hayati Magufuli alivyokuwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO: Afrika inaongoza kwa idadi ya watu wanaojiua duniani

    Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanafanikiwa kirahisi kwa aina ya marais wetu Afrika

    Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani. Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maingiliano ya kiutamaduni na baina ya watu kati ya China na Afrika yamezaa matunda katika kipindi cha miaka kumi iliyopita

    Urafiki baina ya mtu na mtu mara nyingi huwa ndio chachu au msingi wa uhusiano kati ya taifa moja na jingine, ambapo urafiki huu unaimarisha maelewano na maingiliano ya pande zote mbili. Ni miaka kumi sasa tangu rais Xi Jinping aingie madarakani, na katika kipindi chote hicho hakika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika katika muongo mmoja uliopita umelenga kutatua moja kwa moja changamoto za moja watu wa Afrika

    Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja”, China imeweza kuanzisha programu na miradi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano baina ya Chama cha Kikomunisti cha China na vyama mbalimbali vya kisiasa vya Afrika waendelea kupaa juu zaidi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja kumekuwa msingi wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukitajwa kuwa ni uhusiano wa mfano wa kuigwa kati ya nchi na nchi, na pia ni mfano wa kuigwa wa uhusiano kati ya nchi za kusini. Sababu kubwa inayofanywa uhusiano huo upewe sifa hizo, ni kuwa umejengwa...
Back
Top Bottom