afrika

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 1500 waambukizwa Monkey pox Afrika, 66 wafariki

    Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Afrika, Ahmed Ogwell Ouma amesema Ugonjwa huo bado haujadhibitiwa Afrika. Amefafanua, "Msimamo...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Adhimisha kwa vitendo Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu Duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini. Maadhimisho ya Mwaka 2022 yanaangazia vitendo vya kikatili vinavyowakabili Watoto katika maisha yao ya kila siku, na tathmini ya hatua...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika: Tumepiga hatua kutokomeza ukatili dhidi ya Watoto?

    Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini Licha ya jitihada za Mataifa na Bara katika kutokomeza vitendo vya kikatili dhidi ya Watoto, Kamati ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Afrika...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia. Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aomba radhi kwa kusitisha ziara ya Afrika

    Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea. Kiongozi huyo wa Vatican alitangaza kusitisha ziara yake hiyo ya Julai 2-7, 2022 kutokana na tatizo la...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

    Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics 1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo 2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric 3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117 4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric 5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12 6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi. Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zinatishiwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine?

    "Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya utamaduni wa jadi "mwujiza na Afrika" yafanyika mjini Shenyang

    Juni 6, 2022, maonesho ya kitamaduni ya Egungun ya Afrika Magharibi "mwujiza na Afrika” yalifanyika mjini Shenyang. Mama Kanga
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

    Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu. Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu. Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo. Na wazungu hata...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Sall: Urusi imeonesha nia ya kuruhusu usafirishaji nafaka Afrika

    Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la chakula ambalo linaathiri zaidi Afrika Katika mazungumzo yao, Putin amekanusha kuwa Moscow inazuia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aihakikishia Afrika kuilinda kwa Chakula na Mbolea. Asema Russia na Afrika ni marafiki wa Kufa na Kupona!

    Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi. Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea kupata nafaka na mbolea kutoka Russia Leo ni siku ya 100 tokea vita ya Russia na Ukraine ianze Source...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Vifo Barani Afrika kushuka kwa 94%

    Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku, tofauti Vifo 970 kwa siku mwaka jana. Zaidi ya Maambukizi Milioni 11.8 na vifo takriban 250,000...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya diaspora ya China inaweza kuzifaa nchi za Afrika wakati inahitaji watu wenye ujuzi

    Tangu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka jana, moja katika ya mambo ambayo amekuwa akiyasisitiza mara kwa mara ni kutaka diaspora ya watanzania kujitokeza kuchangia maendeleo ya Tanzania. Mara ya kwanza alitoa kauli hiyo alipokuwa nchini Kenya wakati...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) na China wahimiza maendeleo ya miundombinu barani Afrika

    Fadhili Mpunji Mwishoni mwa mwezi Mei, Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) iliitisha mkutano wake wa mwaka mjini Accra, Ghana kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya benki hiyo, na mchango wake katika kuisaidia Afrika kukabiliana na changamoto mbalimbali. Kauli mbiu ya mkutano wa safari hii...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Back
Top Bottom