Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo.
Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
Kama akili tu za kuliendeleza kimaendeleo bara letu la Afrika kwa utajiri wa rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu tumeshindwa je, huku katika soka (mpira wa miguu) na hasa katika michuano ya Kombe la Dunia ndiyo tuweze kutoboa/kufanikiwa?
Tayari Tunisia, Ghana na muda mfupi Cameroon...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imebainisha hayo katika ripoti ya kufikia lengo la kimataifa la kupunguza vifo vinavyotokana na VVU ifikapo mwaka 2030.
Lengo ni kuwa ifikapo mwaka huo 90% ya wanaoishi na maambukizi wawe wanajua hali zao, 90% wenye VVU wawe wanatumia dawa na 90% wawe katika...
Kufuatia kuondolewa ushuru kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 9 za Afrika mwezi Septemba, kuanzia tarehe mosi, Disemba, China haitatoza ushuru wa asilimia 98 za bidhaa za nchi nyingine 9 za Afrika zikiwemo Tanzania na Uganda.
Kurahisisha biashara ni njia muhimu ya kuzisaidia...
Umaskini tuna utaka wenyewe ila Wazungu wanatumia madhaifu yetu kuwa opportunite yao, hata angekuwa wewe ndo Mzungu.
Kwa akili zetu hizi wa Afrika za ubinafsi ni lazima ungetajirika. Kwa ufupi kinacho tufelisha wa Afrika ni ubinafsi wetu ndo una tufelisha tu.
Na kingine sisi ni waoga saana...
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote.
Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi.
Na bado...
Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za kawaida za chanjo za awali
Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, karibu visa 17,500 vya surua...
Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza kuunga mkono Umoja wa Afrika kujiunga na G20. Kama taasisi ya kikanda inayowakilisha idadi kubwa zaidi...
Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
Kwa mtindo huu wa kiongozi yupo ukumbini anahutubia ila huko barabarani maisha hayaendelei ni nadra Tanzania kufika uchumi wa kati, ile mnayoitangaza kila wakati huwa ni chengatu.
Yaani hata nyie viongozi mnapokuwa kwenye shughuli zenu za kikazi mjue mnatesa na kuwapotezea raia muda.
Naelekea...
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
Na Gianna Amani
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa.
Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
Kutoka nchini Zambia, mwanaume mmoja amerudi nyumbani kwake na kumfumania mke wake wa ndoa akiwa chumbani na mwanaume mwingine. Mwanamke huyo ambaye ni mjamzito alikuwa akivunja amri ya sita na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mchungaji (kutokana na picha zake zilizosambaa zikimwonyesha akiwa...
Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati.
Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka.
Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.