Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.
Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?
Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂.
Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14.
Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi...
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco.
Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
Jambo Jambo?
Katika ujio wa hao Watanzania nchini Sudan, kuna wengine ni wanafunzi wa vyuo nchini sudan.
Wapo wafanyabiashara, Wenye ndugu kule, diplomatic officials
Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo sudan, Sasa mimi najiuliza kwa maana chokochoko za Vita hizi...
Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.
Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.
Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.
Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu.
Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje
Sawadong ametokea Chan, timu ya...
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu.
Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa.
Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara.
Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano.
Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa.
"kwanini Afrika kwa sana"?.
"Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo.
Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika.
Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao.
Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba.
M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21
Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa.
Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo.
Inasemekana Sir Alex Ferguson...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.