Oya wakuu niaje, Kama kawa?
Aisee kama mdau wa Corner Bar nimeumia sana baada ya kwenda pale na kukuta kumebadilishwa kuanzia muonekano mpaka burudani zilizokuwa zinatolewa mfano kibao kata nk.
Sijapenda sijapenda, yaani baada ya kuona vile nikaondoka tu chap. Sasa wadau kwa wanaofahamuu...
Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
Zaidi ya Miongo mitano imepita baada ya mataifa mengi ya Kiafrika kupata uhuru wao kutoka Kwa wakoloni . Lakini Bado hali ya maendeleo katika sekta mbali mbali kama vile elimu, afya, miundombinu na sayansi na teknolojia hairidhishi Wala kuleta matumaini kwamba ipo siku itabadilika na kuwa...
Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia watakuwa kulia na wale wa kushoto watakuwa kushoto zaidi, wa moto watakuwa moto na wa baridi...
LIST OF LARGEST BANKS
The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests
By total assets
Industrial and Commercial Bank of China
China Construction Bank
Agricultural Bank of China
Bank of China
JPMorgan Chase
Mitsubishi UFJ Financial Group
Bank of...
FORTUNE GLOBAL 500
-The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine.
The following is the list of top 10 companies in 2022.
Fortune Global 500...
Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
Ushiriki wa Marais wa nchi za Afrika uliofanyika jiijini ST. Petersburg nchini Urusi si sahihi kuupa sura kuwa Marais hao wamemsusia raisi Putin kama wapinzani wa nje wa Urusi wanavyojaribu kuteka akili za watu.
Jumla ya Marais 17 wameshiriki na wawakilishi wa nchi 47 wameripoti kwenye mkutano...
#Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini
St. Petersburg – Urusi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo....
Russian President Vladimir Putin had hoped for a record turnout of African leaders at his second Russia-Africa Summit...
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima vijana wabadilishwe mitizamo yao juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Afrika na kuondoa ile mitizamo ya kwenda nje ya bara hilo kutafuta maisha.
Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 26, 2023 katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali...
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano.
Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.