Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi..
Huwa wanaishia wapi?
Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi?
Yasije tokea Yale ya...
CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions:
Based on the 5-year RANKING!
1. 🇪🇬 Al Ahly
2. 🇲🇦 Wydad Casablanca
3. 🇲🇦 Raja Casablanca
4. 🇹🇳 Espérance
5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
6. 🇪🇬 Zamalek
7. 🇲🇦 RS Berkane
8. 🇩🇿 CR Belouizdad
9. 🇹🇿...
Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania
Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽
~
MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI)
- 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu.
- 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini.
- 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata tamaduni zao, tusilazimishane kufuata tamaduni za kimagharibi (ndoa za mashoga na wasagaji) na pia kila...
Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi.
Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo...
Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa
Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023.
1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9)
2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩
Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo Nchini Dr Congo,
Wanachama wapya wa klabu hiyo Nchini DR. Congo wameiomba klabu hiyo ikazindue matawi...
Nchi nyingi duniani zimepitia katika kandamizi za kimabavu za nchi nyenginezo (expansionism)) hii inatokana na kwamba mkataba wa mwanzo wa maisha ulikuwa unategemea sana vita (SURVIVE for war) nguvu zako katika vita zitakuhakikishia kutawaliwa au kutawala (State of Nature).
Nchi kama marekani...
Wakati Mabara na nchi toka kwenye mabara mengine zinawekeza kwenye mbongo za watu wao, Afrika bado watu wake wanatangatanga kwenye lindi la ujinga na udumavu wa akili unaosababisha umaskini wao. Leo hii karibia Afrika nzima serikali zilizoko madarakani ni taasisi za kikandamizi dhidi ya watu wa...
“Kanuni zilizotolewa na rais Xi Jinping wa China za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zimefungua enzi mpya ya maendeleo ya pamoja kati ya China na Afrika.” Hayo yamo kwenye makala iliyotolewa na gazeti la Daily News la Tanzania yenye kichwa “Tanzania imepata mengi kutokana na Ziara...
Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na hifadhi kubwa ya chanjo za Covid-19 zinazokaribia kuisha muda wake ambazo ilizinunua kwa nguvu kubwa kama yalivyofanya mataifa ya Ulaya kwa ajili ya raia wake.
Matokeo yake chanjo milioni 40 zinaweza kugeuka taka baada ya kubakiza miezi michache...
Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90.
Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela.
Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo...
Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika.
https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake.
Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.