afrika

  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania AFRIKA NJAA INATUMALIZA?ULAFI UNATUDUMAZA!TUZINDUKE.

    Salaam kwenu Njaa hutafuna chango ila athari yake hudumaza fikra na ukomavu wa akili usipokuwa makini unaweza ukauza utu wako sababu ya 'sent 5' . Mamlaka za utendaji zimekaliwa na 'walala hoi' fikra zao ni umimi na familia yake na hatujui kabisa dunia ni duara tunapofanya maamuzi...
  3. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Afrika Tuamke -Remmy Ongala

    Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇 https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaahidi kufuatana na Afrika katika juhudi za kutimiza mambo ya kisasa

    Kwenye Mazungumzo ya Wakuu wa China na Afrika yaliyofanyika tarehe 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alisisitiza kuwa ni watu wa Afrika ambao wana haki ya kuamua ni mtindo gani unaofaa Afrika kutimiza maendeleo ya kisasa……China inaunga mkono kithabiti na kuwa tayari...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa Prigozhin na Imani ya Afrika kwa Putin na Washiriki Wake

    (1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin. (2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
  7. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki Alhamisi, Agosti 24, 2023 Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Wakati mkutano wa 15 wa viongozi wa BRICS unaendelea mjini Johannesburg, Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo wataongoza mazungumzo ya viongozi wa China na nchi za Afrika, na kuwa pamoja na wakuu wa nchi za Afrika waliohudhuria mkutano huo kujadiliana kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa BRICS+ wapongezwa na nchi za Afrika

    Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua mfumo wa BRICS kuwa BRICS+. Afrika Kusini, ambayo ni nchi mwenyeji wa mkutano huo, imewaalika...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner yuko Afrika kupigania "haki" za Waafrika

    Hili lizee ni fulu komedi..... YEVGENY PRIGOZHIN IN AFRICA. SCREENSHOT FROM THE VIDEO Yevgeny Prigozhin, the founder of the Russian Wagner Private Military Company (PMC), has recorded a video message allegedly from Africa, where he is fighting "for justice and happiness" of African peoples...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda hadi nafasi ya 9 kwa Nchi zenye Barabara Bora Afrika. Yaipiku Algeria, Tunisia na Nigeria

    Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika. Inashangaza na kufurahisha kwamba Tanzania inazizidi Nchi kama Algeria,Angola,Nigeria,Ghana,Ivory...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
Back
Top Bottom