afrika

  1. Rais Samia ashiriki mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika, leo Oktoba 23, 2023 jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha. https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. Afrika tumejipanga kuwa karibu na mapenzi ya jinsia moja?

    Vijana wengi barani Afrika ni wapenzi wa kabumbu (mpira wa miguu), kwa hesabu za haraka ni takribani asilimia 90 tayari vijana wamechotwa akili kwenye mpira, asilimia 9.99 wamejiweka kwenye michezo mengine mfano wa mpira wa magongo, mikono, magari na hata mbio. Hakika michezo ni njia moja wapo...
  3. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” laonesha uhai mkubwa barani Afrika

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, na kuwashirikisha takriban wajumbe 10,000 kutoka nchi 151 na mashirika 41 ya kimataifa, wakiwemo viongozi wa nchi na mashirika 20 ya kimataifa. Ikiwa mmoja wa washiriki...
  4. Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

    Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote. Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin...
  5. S

    Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  6. Majirani zetu Afrika Mashariki wafurahishwa na namna sherehe za ufunguzi wa African Football League zilivyofana, washauri tupewe ufunguzi Afcon 2027

    Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
  7. R

    Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  8. Kikao cha 77 cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Oktoba 20, 2023

    Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
  9. Watu Milioni 40 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na migogoro barani Afrika

    Kwa muongo wa pili mfululizo, idadi ya Waafrika wanaolazimika kuyahama makazi yao imeshuhudiwa kuongezeka, sasa ikiwa na jumla ya zaidi ya watu milioni 40. Ongezeko hili la hivi karibuni linajumuisha watu wengine 3.2 milioni waliolazimika kuhama kutokana na migogoro katika kipindi cha mwaka...
  10. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali, ni Nchi ya tano kwa wingi wa mafuta Afrika

    Ameandika John heche, Afrika ina viongozi wengi wajinga mno. Na matokeo ya ujinga huo unaambukizwa mpaka kwa Wananchi. Gabon ni Nchi yenye kilometa za mraba 267,667 ina idadi ya watu milioni 2,349,000. Yaani hata mkoa wa Kagera una watu wengi kuliko wao. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali ni...
  11. B

    Tanzania mwenyeji wa Kikao cha 77 cha Kawaida cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Arusha, Tanzania ITIFAKI YA UFUNGUZI YABADILISHWA DAKIKA ZA MWISHO Tanzania mwenyeji wa mkutano wa 77 wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu, waziri Dr. Pindi Chana ametangaza mabadiliko baada ya mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Samia Suluhu Hassan kutingwa na shughuli...
  12. Afrika vs India

    Watu Afrika ina watu bilioni 1.39 wakati India ina watu 1.42 bilioni. Eneo Eneo la Afrika ni kilomita za mraba milioni 30.37 na eneo la India ni kilomita za mraba 3.28 milioni. Afrika ni kubwa kama mara 10 ya India. Uchumi, GDP nominal Uchumi wa Afrika ni dola trilioni 2.96 wakati ule wa...
  13. Afrika na NORDIC zakubaliana kuboresha biashara na uwekezaji

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
  14. Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  15. Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  16. South Afrika inaishi miaka 200 mbele ya nchi nyengine za afrika,ambazo zinaishi katika giza totoro!hatuna la kusema.

    Nimeshuhudia mara nyingi katika bara la Afrika ukiwatoa waarabu na nchi ya kusini mwa afrika zikitoa maonyo,msimamo na ushauri katika kila jambo(matukio) yanaloendelea katika baadhi ya nchi mfano vita ya GAZA na hiyo ndiyo maana ya diplomasia(sio kutafuta wawekezaji tu) lazima tulaani na...
  17. Ripoti ADRN: Serikali za Afrika zinatumia zaidi ya Tsh. Trilioni 2.5 kwa mwaka Kufuatilia Watu na Mawasiliano yao

    Ripoti ya African Digital Rights Network (ADRN) inayohusu Nchi zinazotumia Teknolojia ya Ufuatiliaji wa Watu Barani Afrika, imeitaja Serikali ya Nigeria kuongoza katika matumizi ya Fedha zaidi (Zaidi ya Tsh. Trilioni 6.77 ndani ya miaka 10) katika uwekaji wa Mifumo hiyo. Mifumo inahusisha...
  18. Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  19. Balozi Hassan Simba: Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ijitegemee ili kukidhi mahitaji ya sasa ya Jumuiya hii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Kamati Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/VsXnOx4lr3U?si=uW9N1rjK-vSrKI8l...
  20. Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika

    Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao. Kampuni ya Starlink...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…